PSSSF ni kizungumkuti. Ati Sheria mpya inaanza rasmi kuuma August 1. Nini fate ya wale walioachishwa kazi before July, 2018 kushuka chini huko? Watu wanasubiri muda mrefu.
Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. The crazy kanuni labla ni applicable elsewhere lakini sio bongo.
Swali kuu ni kwamba why are you tempering with my money?!!!! Kwa nini mmipangie??!!! SITAKI. Wengi wa wafanyazi mnaowababaisha na hizo lousy kanuni ni malofa. Hawataki kanuni. Wanataka pesa zao zote. Period.
Tangu habari za mabadiliko PPF na NSSF zitande imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi hasa wenye vipato vidogo.
Yaani hata laki moja unawekewa mashati lukuki kuipata. Kwa kweli adui mkubwa kwa watz kwa sasa ni hawa jamaa.
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. It is totally ridiculous.
Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako.
Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!? A stinking usanii!
Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina lousy Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani?
Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeacha kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?
Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo.
Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?
This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.
Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi.
Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.