Mtaa wa Uhuru/Congo , mkandarasi anafanya kazi mazingira magumu.

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,302
24,143
20181215_092824.jpg

(Guardian leo 15/12/2018)

Kama kuna athari za machinga hujaziona, basi pita mtaa huo wa Uhuru/Congo ujionee.

Mkandarasi hata mahali pa kumwaga kifusi hakuna, utitiri wa machinga upo kila kona pamoja na wateja wao.
Nimeona utepe na mazege ya kuzuia watu, lakini hakuna anayeheshimu.

Haya ndo matatizo ya machinga.
 
View attachment 968622

Kwa kweli ni shida, si watu tu, hata magari kugonga mbao anazoziweka kwenye mitaro... Kazi za kurudia zinakuwa nyingi sana... SIJUI KAMA MUDA ALIOPEWA WAMEKADIRIA NA USUMBUFU HUO
 
Wana vitambulisho vya kuingia hadi Mbinguni
Hakuna wa kuwazuwia wana kanyaga kokote hakuna Sharia inayo wazuwia ili Mardi tu ata kama ni Mbinguni wanataka kwenda watumie mbingu za Dar kufika huko kwa Malaika Maana badae jiwe ataenda kuwaongoza na malaika huko !》
 
Hilo ni tatizo kubwa.
Sasa tulione kwa mapana yake, hao machinga ni untouchables kwa vile wanajua hakuna wa kuwagusa.
Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
 
Aaah jamani sasa nyie mkijenga sisi tuhame nchi?! Mkandarasi alipaswa aweke uzio, hasa eneo kama hilo, na sio lazima ajenge mchana, anaweza kujenga usiku baada ya sisi kuondoka atakuwa na nafasi yakumtosha.
 
Tazama vizuri hiyo picha yapo mazege ya kuzuia watu kupita, utepe umeondolewa na kwa mbali machingabkawekabmeza juu ya zege la kuzuia watu.
 
Mkandarasi atumie akili yake ya ziada, piga uzio hapo kwani nani ataniambia niutoe nikiweka uzio ili nifanye kazi yangu bila usumbufu, akikaa kulalamika si mwisho wa siku wanamwambia mzembe arudie kujenga
 
Makandarasi mapumbavu sijawahi yaunga mkono.... Kwanza hili zoezi LA luweka mitaro ni kinda deal LA upigaji tu utakuta matrilioni hapo yanateketea and after one year utaambiwa mradi Wa mwendo kasi unakuja wanabomoa tena... Huu ni ufisadi tu. Usiku wangejenga na hiyo mitaro inamuda mrefu sana hawamalizi kujenga... Wanaziba tu barabara bila sababu
 
Povu
Wana vitambulisho vya kuingia hadi Mbinguni
Hakuna wa kuwazuwia wana kanyaga kokote hakuna Sharia inayo wazuwia ili Mardi tu ata kama ni Mbinguni wanataka kwenda watumie mbingu za Dar kufika huko kwa Malaika Maana badae jiwe ataenda kuwaongoza na malaika huko !》
 
View attachment 968622
(Guardian leo 15/12/2018)

Kama kuna athari za machinga hujaziona, basi pita mtaa huo wa Uhuru/Congo ujionee.

Mkandarasi hata mahali pa kumwaga kifusi hakuna, utitiri wa machinga upo kila kona pamoja na wateja wao.
Nimeona utepe na mazege ya kuzuia watu, lakini hakuna anayeheshimu.

Haya ndo matatizo ya machinga.
Watu tumejenga BRT na hao machinga walikuwepo, sembuse mitaro tu hiyo.
 
View attachment 968622
(Guardian leo 15/12/2018)

Kama kuna athari za machinga hujaziona, basi pita mtaa huo wa Uhuru/Congo ujionee.

Mkandarasi hata mahali pa kumwaga kifusi hakuna, utitiri wa machinga upo kila kona pamoja na wateja wao.
Nimeona utepe na mazege ya kuzuia watu, lakini hakuna anayeheshimu.

Haya ndo matatizo ya machinga.
siasa zetu zimejaa uchafu, kibaya zaidi mchunhaji aliyezoea kulala na mbuzi nyumba moja ndiye kiranja mkuu unategemea nini?
 
Back
Top Bottom