Kwanza kabisa naomba nieleze masikitiko yangu kwa yanayoendelea mtaa wa Kinondoni B nyuma ya open University.
Kuna ibada zinaendelea tangu asubuhi leo ambapo wahusika wanatumia spika kubwa zenye kelele tangu asubuhi.
Nilijua ni mhadhara wa kawaida utakaoisha walao saa 12 jioni kama kawaida bahati mbaya hadi sasa ni saa saba usiku kuna makelele makubwa sana kwenye uwanja wa Machinjio sasa najiuliza hata kama ni nyimbo za madrassa basi ziwe na muda wa kuisha ili kupisha watu wapate muda wa mapumziko. Kwa kelele hizi hata kulala inakuwa ni changamoto.
Niombe manispaa wafuatilie kujua kama kibali na sheria inasema nn kuhusu mambo haya ni aibu na usumbufu mkubwa sana.
Tafadhali tulifanyie kazi