Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Mwewe ni ndege hatari sana kwa vitoto vichanga ( kuvidonyoa) na pia kwa kuku au bata hasa vifaranga.
Mwewe alivyomshenzi , anakula vifaranga ambavyo viko ndani ya banda lililowekwa uzio wa wavu. Anashuka perpendicular kwa speed ya hatari kama upepo, ananyakua kifaranga na kupaa nacho juu perpendicular kama ndege yetu aina ya Bombardier Q400.
Kama fence ina wavu mdogo mpaka juu. Mwewe nawezaje kumtega ama afe kabisa apotee hapa duniani?