Polisi yatotoboa siri ya mauaji kada wa Chadema

Polisi yatotoboa siri ya mauaji kada wa Chadema

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,293
MAMBOzamani.jpg

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kuwa jeshi la polisi linazo taarifa za watu walioshiriki mauaji ya kiongozi wa (CHADEMA) katika Kata ya Hananasif, Daniel John ambaye aliuawa na watu wasiojulikana.
Ameyasema hayo hii leo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo alikuwa akitoa tathimini ya ulinzi na usalama katika kipindi cha uchaguzi wa marudio katika jimbo la Kinondoni ambapo amesema kuwa mpaka sasa wanazo taarifa za watu ambao wameshiriki kufanya mauaji hayo.

“Taarifa bahati nzuri tumeletewa na watoa taarifa wakielezea sakata zima la mauaji haya yalivyofanyika na kwa sababu tayari tunazo taarifa tunaendelea kufuatilia ili kuhakikisha wahusika wanakamatwa ili waweze kuhojiwa na kufikishwa kwenye vyombo vya mahakama kujibu tuhuma ambazo zinaendelea,”amesema Kamanda Mambosasa

Aidha Kamanda Mambosasa amewaomba Watanzania kuwa wavumilivu na kusema kuwa tukio hilo ni tukio la mauaji kama yalivyo mengine hivyo haki itatendeka kwani kwenye taratibu za upelelezi hakuna ‘double standard’ bali zinafuatwa taratibu na miongozo iliyopo kwenye masuala ya upelelezi.

Hata hivyo, Februari 14, 2018 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitoa taarifa juu ya kuuawa kwa kiongozi huyo wa CHADEMA ambaye mwili wake ulikutwa ukiwa na majeraha mbalimbali mwilini.
 
Hapa anaundiwa kesi ya muuwaji Mbowe..... Connect hizi dots Moja baada ya tukio lile kuna mtu alikuja alianzisha Uzi kuwa Chadema wanahusika, Kwenye ule Uzi kukawa na maneno kuwa Hananasif watampa Kura nyingi Mgombea wa CCM, Ok, kukawa na vurugu, mtu akauliwa kisha Matokeo feki ya CCM yakaonyesha kuwa Hananasif ndio Mgombea WA CCM feki kapata Kura nyingi.... Mwenye akili anajua kuwa ukweli. Hatuna Polisi tuna genge la CCM
 
Mkuu Elli soma hii.

ShyRose Bhanji: CCM na serikali yake haiwezi kukwepa kwa mauwaji ya Acquilina

Hapa anaundiwa kesi ya muuwaji Mbowe..... Connect hizi dots Moja baada ya tukio lile kuna mtu alikuja alianzisha Uzi kuwa Chadema wanahusika, Kwenye ule Uzi kukawa na maneno kuwa Hananasif watampa Kura nyingi Mgombea wa CCM, Ok, kukawa na vurugu, mtu akauliwa kisha Matokeo feki ya CCM yakaonyesha kuwa Hananasif ndio Mgombea WA CCM feki kapata Kura nyingi.... Mwenye akili anajua kuwa ukweli. Hatuna Polisi tuna genge la CCM
 
God Bless The Child (Extended Remix)"
(originally by Billie Holiday)

Hallelujah, hallelujah,
God bless the child who suffers
Hallelujah, hallelujah,
God bless the young without mothers
This child is homeless,
That child's on crack
One plays with a gun,
while the other takes a bullet in his back

This boy's a beggar,
That girl sells her soul
They both work the same street,
The same hell hole

Hallelujah, hallelujah,
God bless the child who suffers
Hallelujah, hallelujah,
Let every man help his brother

Some are born addicted and some are just thrown away
Some have daddies who make them play games they don't want to play

But with hope and faith
We must understand
All God's children need is love
And us to hold their little hands

This boy is hungry, he ain't got enought to eat
That girl's cold and she ain't got no shoes on her feet

When a child's spirit's broken
And feels all hope is gone
God help them find the strength to carry on

But with hope and faith
Yea, we can understand
All God's children need is love
And us to hold their little hands

Hallelujah, hallelujah
Let us all love one another
Hallelujah, hallelujah
Make all our hearts bilnd to color
Hallelujah, hallelujah
God bless the child who suffers

 
Ni muongo, muuwaji Hawezi kutoka Chadema! Ndio maana wanamtafuta Mbowe kutokana na Mpuuzi mwingine aliyepost upuuzi wake hapa kuwa Mbowe alimnyima nafasi ya kugombea ubunge na kwamba Marehemu alikua against....
Yaani polisi nimegundua wanafanya kazi kupitia propaganda za ccm ***** zao, ,
 
Hapa anaundiwa kesi ya muuwaji Mbowe..... Connect hizi dots Moja baada ya tukio lile kuna mtu alikuja alianzisha Uzi kuwa Chadema wanahusika, Kwenye ule Uzi kukawa na maneno kuwa Hananasif watampa Kura nyingi Mgombea wa CCM, Ok, kukawa na vurugu, mtu akauliwa kisha Matokeo feki ya CCM yakaonyesha kuwa Hananasif ndio Mgombea WA CCM feki kapata Kura nyingi.... Mwenye akili anajua kuwa ukweli. Hatuna Polisi tuna genge la CCM

Wampe iyo kesi ya mahuaji tuone, policcm hawana akili ya kujitambua
 
Hivi Polisisiem, Sizonje na Bashite mkikiri nyinyi ni wauaji na mkatubu mtapungukiwa nn?
 
God Bless The Child (Extended Remix)"
(originally by Billie Holiday)

Hallelujah, hallelujah,
God bless the child who suffers
Hallelujah, hallelujah,
God bless the young without mothers
This child is homeless,
That child's on crack
One plays with a gun,
while the other takes a bullet in his back

This boy's a beggar,
That girl sells her soul
They both work the same street,
The same hell hole

Hallelujah, hallelujah,
God bless the child who suffers
Hallelujah, hallelujah,
Let every man help his brother

Some are born addicted and some are just thrown away
Some have daddies who make them play games they don't want to play

But with hope and faith
We must understand
All God's children need is love
And us to hold their little hands

This boy is hungry, he ain't got enought to eat
That girl's cold and she ain't got no shoes on her feet

When a child's spirit's broken
And feels all hope is gone
God help them find the strength to carry on

But with hope and faith
Yea, we can understand
All God's children need is love
And us to hold their little hands

Hallelujah, hallelujah
Let us all love one another
Hallelujah, hallelujah
Make all our hearts bilnd to color
Hallelujah, hallelujah
God bless the child who suffers


Thx Mkuu
Msg nzuri sana
RIP Aquilina
 
Taarifa za wauaji wanazo ila hadi leo hawajachukuliwa hatua
 
Back
Top Bottom