Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimesafiri kutoka Mwanza kuelekea Dodoma na bus moja. Kwenye hilo bus nilikuwa nasikia mlio maeneo ya dreva nikisikia huo mlio naona kama speed ya bus inapungua. Sasa nimeshindwa kuelewa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sisi wenyenchi au wananchi mahitaji yetu nini kulipishwa kodi za kila aina ikiwa malengo ya viongozi wetu ni kuvutia WATALII na WAWEKEZAJI. Sisi tumesahaulika, kura tunaombwa sisi na tunapiga...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Linaitagwa air bus limetua bongo dakika chache roho inaniuma Sana Mana kwa ukosefu wa ajira rasmi na hata nikijiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo tra wananikaba Koo hivi Ni lini tutapanda hizi ndege...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Humu jamii forum huwa nikifungua uzi lazima nikutane na hii comment Huwa naishia kucheka Tumpe tuzo huyu mkuu teh teh maana hachoki kukoment...I'd yake siikumbuki Hahahah
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mana naona kuna mtu anagawa pesa tu kila siku wakati leo asubui kuna mmama anamtoto wa ugonjwa wa moyo amekataliwa kutibiwa kisa hana pesa hafu unampa hela mtu yuko na afya yake nzima tu hela zote...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tizi, shamba kulima, kula msosi wa maana, kunywa maji mengi, kula vitu natural, kupunguza stress, mawasiliano ya mara kwa mara na my wife. Mambo haya yote leo yameniletea heshima kwa nyumba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba ushauri. Ni oil gani nzuri kwa Hybrid cars hapa Tanzania? TOTAL QUARTS 5000?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzuqa wanaJf! Muscle car inavyojulikana Dodge Challenger GT lenye muonekano wa kuvutia ndani na nje kumbe inanunulika tu. Likiwa jipya linaanzia US$30000. Used hadi $ 6000. Kunahaja gani ya...
6 Reactions
31 Replies
6K Views
Nimesoma article hii over and over waziri anahitimisha wamiliki wanahusika na wizi huu kwa kigezo kipi? Hizi ndiyo dalili za kuwa wale waheshimiwa mizigo: Waziri ‘apigwa’ tiketi ubungo
0 Reactions
0 Replies
560 Views
10. Libya The strength of Libya’s military comes mainly from its large cache of equipment, despite a relatively small number of active troops. Further hampering Libya’s abilities is the continuing...
1 Reactions
85 Replies
9K Views
Kwa upande wangu nakumbuka ilikuwa 2003 kama sikosei niko primary. Siku moja jioni kwenye saa 12 jioni naenda zangu kuchota maji bombani karibu na mto, si nikaingiwa na tamaa ya kula muwa. Ikabidi...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Poleni na mihangaiko ya kila siku. Kuna kitu nimekigundua ikabidi nikilete hapa tukijadili. Shule nyingi za international kwa hapa Tanzania, zinaajiri wageni wengi sana(walimu) kuliko walimu wa...
4 Reactions
112 Replies
13K Views
Za asubuhi. Naombeni kujua dege letu tulilolinunua kwa pesa yetu tena CASH, dege la AIRBUS A220-300 linalotazamiwa kutua leo, tulitegemee saa ngapi? Leo mtoto hatumwi dukani, watanzania wote...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mara ya tatu sasa nikiwa narudi nyumbani hupenda kulala Mwanza hotel flani mitaa ya Iloganzala. Wakati nikiwa hapo kwa mara ya kwanza nilishangaa muhudumu akiniongelesha kwa kiingereza pamoja...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hata kama waliokuzunguka wanakutia kiburi kwamba usitubu lakini jua watu wanateseka kwa kutokutubu kwako. Kama unaona hutaki kutubu basi kubali ufanyiwe maombi ili kiburi cha kidunia kikutoke...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Wameajiriwa toka mwezi wa 10 katika hospitali za wilaya za kigoma,waliomba maombi kabla hawajapata leseni wizara ikawaamini ikawaajiri,tatizo limekuja kwenye mkoa wenyewe wanagoma kuwapatia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Binafsi sijasikia Lugha yangu hapo, Najiona km nimetengwa na kubaguliwa, Najitafakari upya kuendelea kuwa mteja wa Benki hii!
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Wanabodi, Nimetafakari hapa kwanini tumeendelea na utaratibu wa misa za harusi kuwa jioni na sherehe kufanyika usiku? Kwanini ibada ya ndoa isifanyike asubuhi ili baada ya misa watu waende...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu kwenu enyi TUGHE msio na msaada wowote kwa mtumishi wa umma sekta ya Afya. Mshahara wangu wa mwezi December 2018 mmenikata Tshs 30,000/- ambayo sikuwahi kukubaliana na nyie popote pale...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi wa JF,leo kwenye kupita pita kwangu kwenye magrup mbali mbali ya watsap nimekutana na hii mada ambayo nilikuwa na hobi ya kuijua toka kitambo sana,nimeleta huu uzi hapa kwenu...
3 Reactions
18 Replies
10K Views
Back
Top Bottom