Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za weekend wakuu,natumaini mpo salama na mapumziko ya mwisho wa week. Kikubwa leo nachopenda kufahamu kutoka kwenu na kwa uelewa ambao mnao kila mtu kwa nafasi yake ni kuhusu swala zima la...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
MAOFISA utumishi zaidi ya 56 wa umma wamesimamishiwa mishahara yao kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao ikiwamo kutoa taarifa zisizo sahihi kupitia Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Kulikua na taarifa humu kua hao jamaa wameruhusiwa na BASATA baada ya jana kuomba radhi kupitia video wakiwa nchini Kenya. Basata wakanusha hiyo kitu.
4 Reactions
123 Replies
12K Views
Mo Dewji anatarajia kununua gari mpya aina ya Telsa model 3, ambalo linasifika kuwa ni la kiusalama zaidi kuliko mengine yote duniani, linauzwa dola 46,000 (TAS 106,000 Milioni ) Inatumia gesi na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa imeendelea kuzunguka huku na kule na kipindi hiki ni zamu ya Jiji la Arusha.Hapa anakabidhiwa mshindi wa droo ya Joshua Mbisse wa King’ori Arusha ikiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi mwenzetu wa Chuo Kikuu cha Tumaini wa Shahada ya Kwanza ya Mawasiliano ya Umma ( BA- in Mass Communication), Ikupa Ngao aliyefariki jana Desemba 20, 2018...
15 Reactions
96 Replies
21K Views
Serikali ya awamu ya tano imekuwa ni serikali inayozingatia sana uwajibikaji kwa watumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwatumikia wananchi. Imefanikiwa kujenga miundombinu mingi ikiwemo...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Katibu mkuu wizara ya ujenzi anayesimamia uchukuzi amesema faida halisi iliyopata Atcl baada ya ujio wa ndege mpya itajulikana baada ya ukaguzi wa CAG. Katibu alikuwa akijibu swali lililoulizwa na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanawake wanne (majina yamehifadhiwa) wakazi wa kijiji cha Buganzu kata ya Lunzewe Mashariki, Wilayani Bukombe Mkoani Geita wamebakwa na wanaume zaidi ya mmoja baada ya kuvamiwa na watu hao wakiwa...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Ndio hali ililvyojionesha leo katika makanisa mengi hasa ya Kilutheri na Catholic Jijini Dar. My take: Watu wa kaskazini wana mengi mazuri ya kuifunza jamii ikiwemo hili la kupenda ibada.
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuliza kufatia ujio wa ndege mpya Airbus A220- 300. Je ndio ndege ya kwanza kununuliwa kwa garama sana barani Africa au ndio brand ya kwanza Africa ?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawatakia wana jf woote heri ya x-mass na mwaka mpya
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo asubuhi nimezurula katika manispaa ya ILEMELA nimejionea kwa macho yangu viwanda vingi vinajengwa Na kwa kasi, japo sikujua vitakuwa vya kutengeneza nn. Mlioko Nyamhongolo mtuambie with aerial...
1 Reactions
3 Replies
814 Views
Uzi huu ni maalumu kwa tunaoamini yesu kristo yupo hai hadi leo toka apae kwenda mbinguni ni miaka 2018 na atarudi kutuchukua baada ya kutuandalia makao huko mbinguni, Napenda kila mtu atoe hisia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
NAWATAKIA WANA JF NYOOTE HERI YA KRISIMASS NA MWAKA MPYA. KWA WANASIMBA NAWAPONGEZA KWA USHINDI WA JANA. MUNGU ATUBARIKI SOTE. TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU. KARIBU SANA TABATA TULE BATA.
1 Reactions
1 Replies
783 Views
Club ya Simba Sports Club (SSC) kutoka mtaa wa Kariakoo Dar es salaam Tanzania ndio timu pekee kutoka ukanda huu wa Afrika mashariki na kati iliyofanikiwa kufauru kuingia katika michuano ya...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Katika ziara mbali mbali za viongozi si jambo geni kukuta waheshimiwa wanatoa pesa kwa kutambua michango ya mashujaa wa nchi... Mfano leo mzee mapunda kapata mil10... Hoja yangu Mwl wa darasa la1...
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Kama wawakilishi wetu Kitaifa leo Kwa kweli mmetufurahisha sana. Mimi ni shabiki wa Yanga lakini mwenzako akifanya vizuri lazima unampongeza. Magoli yaliyotia fora sana ni lile la Mkude na hasa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji mtu ambaye atanipa lift ya kwenda moshi 24 december na kurudi 26 december nauli yangu ni 50000/60000 kwenda na kurudi. Kama atahitaji na mtu mwingine anayesafiri naye achangie...
5 Reactions
263 Replies
21K Views
Mwanga mdogo sana, kadri giza linavyoongezeka ndivyo nuru/mwanga huo mdogo unavyoongeza uwezo/nguvu zake! pic.twitter.com/toOOUdwec8 View photo ·
8 Reactions
139 Replies
15K Views
Back
Top Bottom