Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu wengi wamekuwa wakishangaa kauli za Rais wetu. nyingi ni za kawaida sana kwa aina ya kundi ambalo Rais yupo. hawa watu wanahitaji akili nyingi sana kuwaelewa Mimi nimeona kwenye mambo mengi...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Salaam wana JF na kwenu TANESCO, Mimi kama mteja wa hili Shirika napata tabu sana juu ya hizi luku mpya.Maana ninalazwa kwenye giza ili hali token numbers za kuwe kwenye mita ninazo.Tatizo ni...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Kuna mtu anasema Kitila Mkumbo na wenzake wamepigania sana vyeo vyao humu Jamii Forums. Nilimbishia kwasababu kuna watu wengi hufanya hivyo ili kulinda maoni yao yasibebwe na mtu mwingine, na pia...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Leo nimekwenda sehemu ya majohe kata ya ukonga kupitia njia ya Kampala University, hakika sikuamini kama ile barabara ipo ndani ya DSM, barabara ni mbovu sana, na inasemekana haijafanyiwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
HABARI ZA USIKU NDUGU ZANGU WANA JF. TANGU SAA 11:40 TUMETOKA KIBAHA MAILI MOJA HADI SASA SAA 4: 20 NDIO TUNAFIKA MBEZI MWISHO. YAANI NI MATESO!!! NA BADO, SIJUI UBUNGO TUTAFIKA SAA NGAPI?
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimefuatilia video ya huyu mdogo wake Rostam Aziz bwana Akramu akipelekwa kisutu na kutolewa akipandishwa kwenye karandinga Nimeshangaa mtuhumiwa huyu muda wote amekuwa akitabasamu na kuonyesha...
2 Reactions
85 Replies
16K Views
Sitaki kuwachosha, niwape mifano michache tuu: 1. Bakhresa Group of Companies/Makampuni ya Bakhresa yanajulikana kwa sababu ya bidhaa zake. Hayana umaarufu kwa sababu ya mmiliki wake. Leo hii...
12 Reactions
76 Replies
10K Views
Kama Wewe Ni Mtumiaji Wa Choo Cha Kukaa Na Huna Dharula yoyote Niamini Mimi Asilimia 98% wewe ni mchafu Hotel [emoji544] kubwa zote Tanzania [emoji1241] hii asilimia 99% kuna Vyoo Vya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ujenzi wa bee house kikale, mradi wa nyuki wa wanachama wa Namaingo upo mbioni kukabidhiwa kwa wanachama. Uwekezaji mkubwaa kuelekea Tanzania ya viwanda ekari zaidi 2800 za mikoko zaingia katika...
1 Reactions
1 Replies
991 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kunywa kwa wingi energy drinks wakitumia hvyo wakidhani huo mbadala wa chakula. Sijajua if elimu ya kutosua inatolewa kwa nguvu kazi hii ya taifa mana...
8 Reactions
115 Replies
19K Views
(Deuteronomy 34 ) ------------ 5 5 So Moses the servant of the LORD died there in the land of Moab, according to the word of the LORD. 6 And he buried him in a valley in the land of Moab, over...
0 Reactions
4 Replies
791 Views
Na Francisca Emanuel MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Anna Mwaisumo (23) na mpenzi wake Samson Kisuguta (28), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka...
1 Reactions
95 Replies
13K Views
Ujenzi wa bee house kikale, mradi wa nyuki wa wanachama wa Namaingo upo mbioni kukabidhiwa kwa wanachama. Uwekezaji mkubwaa kuelekea Tanzania ya viwanda ekari zaidi 2800 za mikoko zaingia katika...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Niomba kufahamu ni Taasisi gani inayosimamia Tafiti hapa nchini na bajeti yake ipoje. Je Tafiti ambazo zimeshanywa Hadi Sasa kuhusiana na Maendeleo zinapatikana wapi mtu akitaka kuzisoma? Je...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu mwezi umekuwa maarufu sana kwa baadhi ya makabila duniani kwenda mikoa ya asili yao kwa lengo la kwenda kusalimia mizimu yao .
2 Reactions
3 Replies
780 Views
Unalikuta jitu linakaa Dar maiaka 10 hata kwenu ndugu zako wamekusahau mwisho wa mwaka ndoo huu embu tujitoe kimasomaso japo tukakutane na wazazi watupe baraka zao
2 Reactions
4 Replies
949 Views
Hivi serekal inaingiza kias gani hii stend ya mawasiliano kwa Siku? Kwan garama ya kuchukua greda kuchonga hicho kibarabara haifiki hata 1 ml .sasa nimeamin kwa nn watanzania wanataka mabadiliko...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu! Hii barabara kwa wale wakazi wa Dar es salaam watakubaliana nami huwa ni kero misimu yote ya mwaka eidha kwa vumbi au tope. Hatimaye serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na rais...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom