Dege jingine latua bongo

mumewanguu

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
261
259
Linaitagwa air bus limetua bongo dakika chache roho inaniuma Sana Mana kwa ukosefu wa ajira rasmi na hata nikijiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo tra wananikaba Koo hivi Ni lini tutapanda hizi ndege au Ni Nani walengwa wa hizi ndege
Any way hongera air Tanzania kwa kutuletea maendeleo
 
We ulitaka kila mtu apande hizo ndege?? No watakaopanda watasaidia sana watu wengine, wakulima, wanafunzi nk
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
 
  • Thanks
Reactions: ram
We ulitaka kila mtu apande hizo ndege?? No watakaopanda watasaidia sana watu wengine, wakulima, wanafunzi nk
Serikali ikimsaidia mkulima pia huyo mkulima atalilisha taifa!ila kwa kuwa waheshimiwa wanakula hadi machungwa ya kutoka south Africa na israel hawa wakulima wa hapa hawana faida kwao!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom