Kumbe dodge challenger inanunulika tu

Kumbe dodge challenger inanunulika tu

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mzuqa wanaJf!

Muscle car inavyojulikana Dodge Challenger GT lenye muonekano wa kuvutia ndani na nje kumbe inanunulika tu.
7be1391e2fcb88bc9bc92be0f45fc628.jpg

Likiwa jipya linaanzia US$30000. Used hadi $ 6000.
dodge-challenger-drop-top-customs-convertible-builders-llc-drop-top-challenger.jpg

Kunahaja gani ya kununua migari ya kifahari yenye sura mbaya ambayo yanabei mbaya isiyostahil kwaanzia dollar laki 3 hadi $5m. Yani ni upuuz uliotukuka. Angalia hapo chini hilo gari ni dollar laki tano kabla ya kodi baada ya kodi ni $ laki 7 ukilinganisha na dodge challenger huwez amin. Halafu kuna wapuuz duniani bila kujali hofu ya Mungu wananunua wakati southern Sudan mkate tu kupatikana ni ngumu.
car_photo_25019.jpg
eti hili gari dollar laki saba iyo hela inanunua nyumba sabini za kisasa mbagala.
 
Zamani hata mie wanawake zangu walikuwa watoto wa mamantilie, lakini tokea niwe Tozi25 nachukuwa totoz za kisister du tu.
Mega million haijasomeka tu? Kacheze japo Bingo na vizee jumapili kaka au scratch card 🤣🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mzuqa wanaJf!

Muscle car inavyojulikana Dodge Challenger GT lenye muonekano wa kuvutia ndani na nje kumbe inanunulika tu.View attachment 974726

Likiwa jipya linaanzia US$30000. Used hadi $ 6000.
View attachment 974727

Kunahaja gani ya kununua migari ya kifahari yenye sura mbaya ambayo yanabei mbaya isiyostahil kwaanzia dollar laki 3 hadi $5m. Yani ni upuuz uliotukuka. Angalia hapo chini hilo gari ni dollar laki tano kabla ya kodi baada ya kodi ni $ laki 7 ukilinganisha na dodge challenger huwez amin. Halafu kuna wapuuz duniani bila kujali hofu ya Mungu wananunua wakati southern Sudan mkate tu kupatikana ni ngumu.
View attachment 974720eti hili gari dollar laki saba iyo hela inanunua nyumba sabini za kisasa mbagala.
Kuna tofauti kati ya a CAR na a SUPER CAR.
 
Tatizo hamna dodge challenger GT right hand
 
kama sikosei hii ni mara ya pili unailalamikia hiyo gari ya dola laki saba[emoji1787][emoji1787]wapo wenye uwezo wa kununua bro wew na mimi kama hatuwezi tuwaachie wenye fedha zao watumie
 
Mzuqa wanaJf!

Muscle car inavyojulikana Dodge Challenger GT lenye muonekano wa kuvutia ndani na nje kumbe inanunulika tu.View attachment 974726

Likiwa jipya linaanzia US$30000. Used hadi $ 6000.
View attachment 974727

Kunahaja gani ya kununua migari ya kifahari yenye sura mbaya ambayo yanabei mbaya isiyostahil kwaanzia dollar laki 3 hadi $5m. Yani ni upuuz uliotukuka. Angalia hapo chini hilo gari ni dollar laki tano kabla ya kodi baada ya kodi ni $ laki 7 ukilinganisha na dodge challenger huwez amin. Halafu kuna wapuuz duniani bila kujali hofu ya Mungu wananunua wakati southern Sudan mkate tu kupatikana ni ngumu.
View attachment 974720eti hili gari dollar laki saba iyo hela inanunua nyumba sabini za kisasa mbagala.
Ila mkuu hiyo Dolge Challenger ikiingia nchini ikakutana na mikono ya TRA hawaangalii umenunua $6000/= utapigwa hela ndefu hadi ujute kwa nini umelileta nchini. Utalinunua hata mara 10 ya bei uliyonunua
 
Mzuqa wanaJf!

Muscle car inavyojulikana Dodge Challenger GT lenye muonekano wa kuvutia ndani na nje kumbe inanunulika tu.View attachment 974726

Likiwa jipya linaanzia US$30000. Used hadi $ 6000.
View attachment 974727

Kunahaja gani ya kununua migari ya kifahari yenye sura mbaya ambayo yanabei mbaya isiyostahil kwaanzia dollar laki 3 hadi $5m. Yani ni upuuz uliotukuka. Angalia hapo chini hilo gari ni dollar laki tano kabla ya kodi baada ya kodi ni $ laki 7 ukilinganisha na dodge challenger huwez amin. Halafu kuna wapuuz duniani bila kujali hofu ya Mungu wananunua wakati southern Sudan mkate tu kupatikana ni ngumu.
View attachment 974720eti hili gari dollar laki saba iyo hela inanunua nyumba sabini za kisasa mbagala.
Naskia ili gari halinywi mafuta bali linajimwagia mfano wa kuchukua ndo ya maji ile ya lita 20 ukaibeba na kuanza kujimiminia kichwani.
 
magari ya ulaya na marekani used watanzania waweza nunua issue ni availability ya mafundi na spare parts ikiharibika. Mimi rafiki Yangu alitaka kunipa gari aina ya Hummer bure nilikataa nikamwambia nipe hela nikanunue gari ya kijapani au Nitumie gari ya kijapani ambayo spare ziko kibao na cheap na mafundi wapo kibao akanitumia. Gari za ulaya na marekani ni headache. utafurahi kutembelea ikiwa nzima ikiharibika hata kidogo utalia kama mbwa mafundi hamna na spare hamna. Gari unaweka kwenye mawe hivi hivi kienyeji.
 
Mfano tu mdogo bongo umtokee demu na ferarri ya dollar milion moja na mimi nikaja nimtokee huyohuyo shori na vx v8 ya dollar elfu 85. Dem atanifuata mimi.
Nenda na hiyo vx v8 yako Tabora uone kama utapata demu, kule wanachanganyikiwa na mwanaume mwenye baiskeli, iwe na kitako kikubwaaa, hapo anahisi kama yupo paradiso. Ukienda Sumbawanga demu akikuona umetoka sokoni umenunua ungo tu anakuchekea, anajua usiku ni mwendo wa kusafiri kwenda kokote atakakohitaji. We unatuletea habari za vx v8 sijui. Hizo za mademu washamba hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom