Bila kuwa na katiba nzuri mpya ya wananchi . Bado uongozi wa nchi utategemea mzuka wa mtu. Na hii ni hata baada ya huyu, ajaye atafanya haya haya.mana naona kuna mtu anagawa pesa tu kila siku wakati leo asubui kuna mmama anamtoto wa ugonjwa wa moyo amekataliwa kutibiwa kisa hana pesa hafu unampa hela mtu yuko na afya yake nzima tu hela zote zile..
Kamuulize M7 leo anakula matapishi yake mwenyewe.Mkinipa mimi urais,, kazi yangu ni moja tu,, kubadili katiba then nang'atuka
....Pata uongozi tujue tabia yako.Mkinipa mimi urais,, kazi yangu ni moja tu,, kubadili katiba then nang'atuka