Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nipo Arusha kwa muda wa siku 3. Duka gani na lipo mtaa gani nitapata viatu vya kiume standard kabisa? Nimeenda Nakumat na Woolworth, viatu vipo bahati mbaya vinavyonitosha nimekosa. Maduka...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
  • Redirect
Kama ilivyo ada linapotokea jambo la kuisumbua serikali hasa katika masuala yanayoonekaa kugusa jamii basi serikali utenga donge zito na "nono" kwa ajiri ya kuwalipa "walaghai" wasaidie kuilaghai...
3 Reactions
Replies
Views
Naombeni ushauri wadau. Kama kuna mtu anafahamu namna ya kurusha matangazo ya TV kwa kutumia VING'AMUZI vya antena pamoja na vifaa vyake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nilikuwa nazungumza na mmoja wa rafiki zangu, ambaye amechukua mkopo kutoka benki mwanzoni mwa mwaka huu. Alipata 10ml. Aliponieleza kiasi anachotakiwa kurudisha ndio nilichoka. Anatakiwa...
2 Reactions
2 Replies
965 Views
DARAJA LA DR. DAU Daraja la Dr. Dau Daraja la Kigamboni Hicho hapo chini ni kipande kidogo cha maneno niliyoandika kiasi cha miaka minne iliyopita katika taazia ya marehemu Abubakar...
3 Reactions
176 Replies
24K Views
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ameeleza sababu zilizomfanya atoe msimamo binafsi kwenye Bunge la Katiba uliosababisha aachishwe kazi na Rais Ali Mohamed Shein...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu tulivyomzoea Mheshimiwa Mrema uchapakazi wake hauna mfano, na hilo limedhihirika alivoteuliwa na rais kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Parole kazi alioifanya pamoja na mbwembwe sio mchezo. Lakini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni kwa wale wote wasiokuwa na Nyumba au kiwanja. Kutokana na hali ya maisha kuwa mbaya mtaani wale mwenzangu na mimi wasiokuwa na vijumba au kiwanja tujiandae tukusanye vihela muda huu...
2 Reactions
0 Replies
933 Views
Leo Novemba 14 ni Siku ya Kisukari Duniani 2016 *KisukariNiTatizoNchiniTanzania* Ugonjwa wa Kisukari ni tatizo linalopamba moto hapa nchini kwetu. Takwimu za mwaka 2015 zinaonyesha kuwa kulikuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama heading yangu inavyojieleza, sisi wakaazi wa maeneo ya Mbezi, Kimara na kwingine ambao tunatumia usafiri huu tunapata tabu sana na usafiri huu wa sasa. Unapanda Mbezi kwa foleni unakuja...
1 Reactions
3 Replies
913 Views
Wanajamvi katika harakati za maisha nikaona kea sasa kutokana na shughuli zangu basi si vibaya kumiliki gari ili kuweza kwendana na kasi ya hili jiji na maisha kwa ujumla. Basi nikaanza kupitia...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama ndiyo kungekuwa na soko la vitu hivyo kwenye world trade, wataalam wa mambo wanadai kuwa ubungo wa Mwafrika kibei usingeshikika. Kwa vigezo vifuatavyo... Ubungo wa mwafrika haujatumika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NINA WADOGO ZANGU WAWILI, nawaita wadogo zangu kwasababu nimewasomesha tangu form za chini hadi wamefaulu kupata maksi za kujiunga vyuo vikuu mwaka huu. mmoja ni yatima kabisa Hana baba wala mama...
17 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari wanandugu, Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote. Kwa muda mwingi tumeshuhudia...
13 Reactions
255 Replies
22K Views
YAWEZEKANA MIFUMO DUME IMETUFANYA TUSAHAU KUJADILI WANAWAKE WENYE UVUMILIVU MKUBWA. Pasi na shaka walio wengi tunamfahamu mama yetu (Bi. REGINA LOWASSA); Huyu kwangu na muona ni mama mwenye nguvu...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Habarini wote, Nasikitishwa na ufanywaji kazi wa jeshi langu la polisi hususani kituo cha kitunda shule, huku ninapokaa eneo la Kipunguni - Kitunda relini, kuna maskani moja ya muda mrefu sana ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hilo limetokea jumapili iliyopita nimenukuu kama ilivyo hapo. Ndio tunatakiwa kuwa waangalifu maana ni hatari mno. "Kijana akiiba leo Kanisani St. Albans katika Ibada ya Pili. Dada aliyebiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Walipochangisha hawakusema michango kwa ajili ya"taasisi za umma zilizoathiriwa na tetemeko'' walisema wananchi walioathirika natetemeko kagera, Sasa leo hiitena iweje wanasema michangonikwaajiri...
0 Reactions
Replies
Views
Habari! jamani nani anafahamu namba ya kuongea na mhudumu wa airtel?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ajali mbaya ya Basi Kampuni ya Best line linalofanya safari za Mbeya Mwanza, limepata ajali asubuhi hii, Maeneo ya Chimara Mkoani mbeya baada ya kuacha njia na kupinduka. Majeruhi ni wengi na...
2 Reactions
43 Replies
15K Views
Back
Top Bottom