Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inafika muda nikiiangalia Dunia ilivyo na maendeleo yake nashawishika kuamini utafiti kutoka Harvard university unaosema, "Africans are predisposed to being less intelligent than white people"...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kipindi cha nyuma kuanzia awamu ya tatu pili na nne kila ikifika miezi mitatu au karibu na mwisho wa mwaka rais aliepo madarakani kwa awamu hizo walikuwa wakihutubia taifa kuhusu hali ya kiuchumi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Bila kupoteza mda naomba niende moja kwa moja kwenye mada Kuna bro angu mmoja hv kanizidi miaka ka minne ana tatizo kanieleza ili ni mshauri ila nmeshndwa na kwa kuwa humu kuna...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Msaada wenu wanajamvi;Naomba kujua ukumbi mzuri kwa ajili ya harusi wa watu si zaidi ya 200 hapa Dar. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Labda niweke na budget ili iwe rahisi zaidi, budget...
0 Reactions
57 Replies
16K Views
UPDATES: Kijana Aliyejiua Mwanza Alikuwa na Pesa, Alizidiwa na Stress* Na Blogu ya Jamii, Mwanza Saa chache baada ya kijana aliyejiua Mwanza, marafiki wa karibu wameshangazwa na polisi Mwanza...
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Mwanamuziki w a kike wa nyimbo za kiinjili. Rose Mhando ambaye hujulikana pia kwa jina la Rose Muhando ;amezaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya Kilosa , Mkoa wa Morogoro , nchini...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Kwa mara ya kwanza nimpongeze bash boy this time kwa kuweza ku draw attention na kufanya wakuu wapumue walau kwa masaa 48... Hii pengine inaweza kufika saa 72... Sio saa chache hata kidogo... Ishu...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Mkataba wa Sunderland waitesa Tanzania Na Veronica Romwald, Dar es Salaam MKATABA kati ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Kampuni ya ‘Sunderland Association Football Club’ ya nchini Uingereza...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau kijij hiki kinapatikana kusini mwa mkoa Wa Kigoma uliopo kanda ya ziwa, Kijij hiki ni kidogo sana kina wakazi wasiozidi 2000, kijiji hiki hakuna mwizi. Kila baada ya nyumba mbili kuna...
18 Reactions
120 Replies
23K Views
Hawa wazungumzaji /motivational speakers huwa wanawapotosha sana vijana wetu , hasa graduates toka vyuo mbali mbali. Unakuta wanawakusanya vijana wetu pengine wanawachangisha mpaka viingilio...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Watu wengi hawajui kwa nini wazungu huwa wanasema *"LIFE BEGINS AT 40".* Yaani maisha yako ya kweli yataanza ukifika umri wa Miaka 40. Wakati ambapo unatakiwa uwe na elimu uliyoihitaji.. Uwe na...
29 Reactions
36 Replies
8K Views
Tovuti ya Global fire.com kila mwaka inatoa safu ya jeshi duniani kutokana na ubora wake wa kijeshi unaotokana na ubora wa jeshi katika nchi husika. Safu ya utofauti wa kijeshi kwa nchi za...
6 Reactions
110 Replies
30K Views
USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vifuatavyo ni vitu hatari sana na vinaweza kukuletea matatizo na hata kupoteza maisha endapo utavipiga picha na kusambaza mitandaoni. 1. Makonda. Usije ukajaribu kumpiga makonda picha bila...
62 Reactions
125 Replies
15K Views
WASIFU WA SHEIKH ABDILATIF ABDALLA Umetolewa na Prof. David P. B. Massamba tarehe 13 Aprili, 2012, kabla ya kumkaribisha Abdilatif Abdalla kutoa Mhadhara Maalumu (“Nafasi ya Wasanii Katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii inaweza kuwa habari mbaya mno kwa watetezi wa mabeberu na wapingaji wa Rais Magufuli. Siku tatu kabla ya sikukuu ,imeripotiwa kuwa abiria wa kwenda mikoani kula sikukuu na kusalimia ndugu zao...
4 Reactions
71 Replies
8K Views
Jamani kumbe JWTZ wanaajiri watu kwa majina na vyeti vya watu wengne hadi NYAKATI HIZI!! Kuna rafiki zangu 2 wa mtaani ni fom 4 failure mwaka 2011 walisema kuna mzee mkubwa jeshini kawapatia...
0 Reactions
67 Replies
11K Views
Fuateni sheria TCRA,ili tupate fursa habari huru za ndani. Mtapata mapato zaidi Watazamaji tutapata fursa zaidi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habr wana jamvi? Nianze uzi huu kwa kuelezea mkasa nilio ushuhudia siku za hiv karbuni! Nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wanafanyisha usaili kwa nafasi za recovery officer kwa kweli ile...
8 Reactions
76 Replies
7K Views
Back
Top Bottom