Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, amepiga marufuku tabia ya Maafisa Uhamiaji hasa waliopo mikoa ya mipakani kuwatambua Wahamiaji haramu kwa kigezo cha pua ndefu, kuimba wimbo wa Taifa...
Kwa mtu ambae anaitaji kufungua banda la chipsi na Chalange kwake ipo kwenye vifaa,
Nina vifaa vyote ikiwemo .
--Kabati la kioo ngazi mbili ni kubwaa.
--jiko la kupikia
--jiko la pembeni kwa...
Wanafunzi kidato cha kwanza Arusha kusoma kwa zamu
SUNDAY JANUARY 6 2019
Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Richard Kwitega akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Arusha...
Asalam alekhum, bwana yesu asifiwe, tumsifu yesu kristo , namaste
Najivunia kuwa mtanzania ,najivunia kuwa mwafrica na najivunia kuzaliwa Africa.
Kwa umri huu mdogo nilionao najiona mwenye...
Nini tofauti ya imani hizi mbili
1:Islam
2:Roman catholic(RC)
Zote zinamuabudu Mungu,ila tofauti ni majina tu mmoja anaita Mungu kama God mwingine Mungu Kama Allah,
Imani zote zina muktadha...
Toka imeanza issue ya 1.5T ikaja ya koroshow, Vikokotozi, wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shule na hili la CAG sijawasikia wakitolea maoni wananchi wao au wanaona ni sawa tu, Na wakiwa bungeni...
SEARCH
MENU
Phenomenol success of Bt cotton in India makes case for GMOs in developing world
Ashok Chowgule | Swarajya | November 13, 2015
How has the cotton industry of India fared since...
Waingereza waliicha serikali Kolkata (sema tu Karakata) lakini wahindi wenyewe wakahamisha makao kwenda New Delhi! Wengi wanachanganya, NEW DELHI na DELHI ni vitu viwili tofauti, Delhi ipo ndani...
kumekuwa na tabia ambayo nimeanza kuiona ambayo si njema kwa sisi vijana katika ufikiri na kujituma kwetu katika kulijenga taifa letu, tabia hiyo ni kujitoa ufikiri hasa pale kunapotokea migogoro...
Naomba niende kwenye mada.
Semina hizi karibu kila mwaka tunasikia zikitangazwa(kupigiwa debe).
Mimi si mtumwa ni huru. Hivyo niko huru kuhoji jambo lolote bila kujali ni la kiimani, kisiasa au...
wakuu vipi lapf wao wanasemaje kuhusu hili fao la kijitoa? kwa sababu mwanzo wao walikuwa wakilitoa je kwa saiv wataendelea nalo? au kama mti kwsha fika office zao atujuze.
Sent using Jamii...
Mzuqa wanaJF!
Dah aisee hii idea imenijia ghafla baada ya kufanya research mtandaoni.
Unajua ukiwa bado kijana nikutumia fursa ambazo ziko mbele yako kujenga CV ukiwa hai.
Japo sisi wabongo...
Kufuatia uchumi wangu,kushuka rasmi naanza kunywa pombe za kawaida.Wajuzi wanielimishe madhara kuchanganya pombe kama Kvant,Konyagi na energy drink kama Redbully,Azam Energy,Kunfu nk
Sent using...
MWAKA UMEANZA TENA, NIMEONA SI VIBAYA TUKAKUMBUSHANA MANENO HAYA YA HEKIMA HATA KAMA ALIYESEMA HAKUBALIKI NA WOTE.
Ameandika Kamanda Henry Kileo
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania!
Nguo...
Kwanza naomba nikupongeze kwa kazi nzuri iliotukuka, pili naomba nikupe kaushauri kadogo lakini kakubwa.
Mheshimiwa Rais kama ulivyo waasa wana CCM kutoitwa waheshimiwa basi naomba ukae na...
Hapa nazungumzia viongozi wa kitaifa
Tanzania imejengwa na dini kuu mbili Islam and Christian hizi ndio dini zenye ushawishi kila maamuzi yanayofanywa watu huuliza dini gani yule swali la pili...
Ivi haya mambo yanatokea hapa hapa bongo ama ?
Habari
Ni kweli mkeka huu umeshinda,Je Premier Bet kama kampuni wamefanikiwa kukamilisha malipo ya mshindi huyo ?
Mshindi huyo yupo !
Kama yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.