Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,067
Kwanza naomba nikupongeze kwa kazi nzuri iliotukuka, pili naomba nikupe kaushauri kadogo lakini kakubwa.
Mheshimiwa Rais kama ulivyo waasa wana CCM kutoitwa waheshimiwa basi naomba ukae na viongozi wakuu na watendeji wako wote na uwaambie kwamba...wasifanye kazi kupitia vyombo vya habari, bali wavitumie vyombo vya habari kutuelezea yalio mema ya Nchi.
Wawe makini mbele ya camera za vyombo vya habari, waziogope sana kalamu za waandishi wa habari.
Wakifanya hayo Nchi itapoa.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app