Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Hapa nazungumzia viongozi wa kitaifa
Tanzania imejengwa na dini kuu mbili Islam and Christian hizi ndio dini zenye ushawishi kila maamuzi yanayofanywa watu huuliza dini gani yule swali la pili huuliza kabila gani.
Binafsi nimekuwa nikijipa informal work ya ku observe inakuwaje viongozi wakuserkali walio wakiristo hawapendani kiasi hicho ukilinganisha na viongozi wa kiserkali toka Islamic?
Huwezi kuta hata siku moja kiongoZi wa upande wa pili anam bull mwenzake au anamfukuza kazi kirahisi rahisi hii haiwezi tokea hata siku moja...na itatoka nguvu nje ya utawala itamtetea kwa hali na mali haitajalisha hata km anamakosa
Angalia mzee mwinyi alivyomuandaa kikwete kuwa kiongozi.
Angalia mzee kikwete alivyomuandaa mtoto wa mwinyi kuwa kiongoz.
Haya mambo unaweza ukayaona ya kawaida lakini ni ukweli waislam wanabebana sana (inaweza kuwa kwa nia nzuri ili kuendeleza maslahi yao) lakini vipi kuhusu wakristo, viongozi wakristo hukaa madarakani bila mpango mkakati wanakuwa focused na kitu kimoja tu cha maendeleo ila hawana mipango mkakati kama upande wa pili!
Hebu jiulize swali dogo wanapokutana kikwete, mwinyi, yusuph makamba na adam malima wataongea nini?
Watatoka kwenye kikao bila kuzungumzia maslahi yao?
Upande wa pili wakikutana magufuli, mkapa na Pinda wataongea nini?
Nina uhakika watazungumzia tu masuala ya uchumi na kisha kuondoka zao
Nakupa mfano mdogo tu angalia jinsi ambavyo Mh.rais anavyiwazamisha wanasiasa vijana kama kina nape nnauye mwigulu nchemba, nk bila sababu za msingi hii tu inaonyesha vile ambavyo system ipo poor organise
Waislam hawaoni aibu kupigania maslahi yao tofauti na wakristu.
Ndio maana hata ukienda nyuma ya pazia mtandao wenye nguvu zaidi kwenye chama tawala ni ccm.ndio maana wanamchezesha kiongozi mkuu wanavyotaka wanajua siasa chafu na siasa safi wanajua kuhujumu, wanajua jinsi ya kumpandisha mtu na kumshusha wamejanga himaya sana katika ushawishi wa siasa za tanzania tofauti na wenzao
Sent using Jamii Forums mobile app