New Delhi: Tembea ujionee

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
23,765
Points
2,000

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
23,765 2,000
Waingereza waliicha serikali Kolkata (sema tu Karakata) lakini wahindi wenyewe wakahamisha makao kwenda New Delhi! Wengi wanachanganya, NEW DELHI na DELHI ni vitu viwili tofauti, Delhi ipo ndani ya New Delhi, kiufupi Delhi ni eneo ndani ya New Delhi na New Delhi ndio makao makuu ya India.

 1. Kwa wataalamu wa Mipango-miji, maeeneo mengi ya New Delhi yalipangwa na Muingereza mtaalamu wa Mipango-miji: aitwae Edwin Lutyens na kwa heshima yake, New Delhi pia huitwa Lutyens Delhi.

 2. Eneo la viwanda lijulikanalo kama Delhi – Mumbai Corridor, ambalo ujenzi wake haujakamilika, litaja kuwa mradi mkubwa wa miundombinu duniani huku ukiwa ndani yake na Majiji 24, Mitambo ya nishati 2, viwanja vya ndege 6, viwanda 23, Bandari 2 na Barabara ya njia 6 ya urefu wa Km 1500. Wachambuzi wanasema, mradi huu ni kama vile wahindi wamedesa idea ya mradi kama huo ujulikanao kama Tokyo-Osaka industrial corridor wa Japan.

 3. Katika utafiti uliofanywa na Global Metro Bench NOVA na CoMET, usafiri wa umma (Mwendokasi) ujulikanao kama Delhi Metro (Mabasi na Treni. Kwa upande wa Mabasi ya Delhi Metro, ndio mfano halisi wa UDART yetu, kuanzia muundo mpaka rangi, cha tofauti ni kuwa, wao hawana Vituo na bara bara maalum kama sisi DSM) ndio mtandao wa usafiri wa pili kwa ukubwa duniani. Usiniulize kuhusu Mwendokasi wetu. Treni, lina mabehewa kwa ajili ya wanawake tu, mara nyingi ni mabehewa matatu ya mwisho, na pia wanawake wanaruhusiwa kugombania na kuingia mabehewa ya abiria wote, wake kwa waume. Marufuku mwanaume kuingia behewa la wanawake!

 4. Uwanja wa ndege wa Indira Gandhi International Airport (IGIA) ni wa 4 kwa ubora duniani mpaka kufikia 2010, na wahindi wanaamini kwa sasa, uwanja huo ndio wa kwanza kwa ubora!

 5. Kwa idadi ya watu, New Delhi ina watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18m na hii inaufanya mji huu kuwa namba 6 kwa idadi ya watu!

 6. May mwaka 2014, New Delhi ulitajwa na (WHO) kuwa ndio Jiji lenye hewa chafu zaidi duniani.

 7. Kama huvuti sigara wala bangi, na ukawa unaishi New Delhi, uwepo wako pale ni sawa na kuvuta sigara 10 kwa siku, wanasema hii ni sawa na kupata kansa ndani ya mwezi mmoja! Kama unavuta piga hesabu mwenyewe!

 8. Msongamano wa Magari ndani ya New Delhi ni sawa sawa na msongamano wa Magari katika jiji la London nchini Uingereza! Kama Tanzania, New Delhi madereva wanaendesha wakiwa upande wa Kulia wa gari!

 9. Haijathibitika rasmi, lakini ukae ukijua New Delhi, madereva wanapenda kupiga honi za gari kupitiliza, karibia gari zote zimebandikwa sticker kwa nyuma HORN PLEASE! New Delhi pekeake ina Magari 7m mpaka kufikia 2014!

 10. Tanzania wanaita BAJAJ, kule New Delhi zinaitwa Autos. Na zipo nyingi sana, na nyingi zina rangi ya kijani na njano! Huenda wanatuenzi wa Tanzania!

 11. Wakazi wa New Delhi wanaitwa Delhite. Na wengi wao hawajui English. Wanapenda na ni wepesi kuwasaidia wageni kuwapa maelekezo, japokuwa wana uhakika hawaelewani lugha na pia hawaelewi anachosema mgeni.

 12. Ni ngumu kupata papuchi India, na hasa ukiwa mgeni, na hali ni mbaya zaidi ukiwa Mweusi. Mtaa maarufu kwa biashara ya papuchi Jijini New Delhi ni GB Road, cha kushangaza zaidi, madada poa wa mtaa huu wanakaba, wanaiba na kupora chocote alichokuja nacho mteja kuanzia, hela, simu, wallet, mikufu n.k.

  Police wanalijua vizuri eneo hili, na mara nyingi huvamia na kusomba kila waliemkuta hapo! Inakadiriwa kuwa, GB (Garstin Barstion) Rd ina machangu 10,000+ (zaidi ya elfu 10).
 13. Wanyama Mbwa na Ng'ombe wanaongoza kuzagaa mitaani, tena mitaa iliyo busy na yenye watu wengi kama vile Msimbazi kwa Kariakoo. Mara nyingi Ng'ombe huzurura pasi na mmiliki kuwepo. Mgeni anahitaji kuwa makini ili kuulizia wapi Nyama ya Ng'ombe inauzwa la sivyo unaweza kuingia matatani! Ng'ombe ni sehemu ya imani ktk ibada zao na kuna maeneo strictly sio tu haiuzwi, hata kuulizia ni mwiko!
 14. Kama unataka ustaarabu, baki na Tanzania yako, New Delhi kuna maeneo ustaarabu ni 0. New Delhi ni rahisi kabisa Dereva kupark gari pembeni na kuanza kukojoa ktk barabara iliyo busy mf Morogoro rd yetu. Hii inatokea mchana kweupeee! Kwa kifupi wahindi ni wachafu kwa maeneo mengi!
 15. Ahsante sana Lucknow Univ. Tembea uone! Soma uelimike!
Traffic in New Delhi.jpg
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
20,626
Points
2,000

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
20,626 2,000
 1. Ni ngumu kupata papuchi India, na hasa ukiwa mgeni, na hali ni mbaya zaidi ukiwa Mweusi. Mtaa maarufu kwa biashara ya papuchi Jijini New Delhi ni GB Road, cha kushangaza zaidi, madada poa wa mtaa huu wanakaba, wanaiba na kupora chocote alichokuja nacho mteja kuanzia, hela, simu, wallet, mikufu n.k. Police wanalijua vizuri eneo hili, na mara nyingi huvamia na kusomba kila waliemkuta hapo! Inakadiriwa kuwa, GB (Garstin Barstion) Rd ina machangu 10,000+ (zaidi ya elfu 10). Ahsante sana Lucknow Univ. Tembea uone! Soma uelimike!
View attachment 468845

Nimependa namba 13, swali vipi kuhusu TZ yetu? Ni yupi rahisi kupata Papuchi Muhindi au Mtu mweusi? Na kwa nini?
 

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
23,765
Points
2,000

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
23,765 2,000
Nasikia ni wabaguzi sana, kuna ripoti ya binti wa kiTanzania kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani.
Sitaki kuhukumu kwa ile ripoti na kufanya nao kazi. Je Kuna ukweli juu ya hilo? Kama ndiyo, uliwezaje kuhimili maisha ya huko kukiwa na ubaguzi kama huo?
Mkuu mi niliishi New Delhi. Kiukweli pale rate ya ubaguzi ipo chini kwa mtazamo wangu.

Wahindi wana chuki na ngozi nyeusi lakini ni mpk uwachokoze, mf kuchukua demu wa kihindi wao wanahesabu ni uchokozi na kamwe hautabaki salama.

Nimesoma nao darasa 1, nimepanda nao Bajaj, nimesafiri kwa Delhi Metro tena tunapanda kwa kugombania, si asubuhi, si jioni, ukibahatika siti unakaa, muhindi anasimama na sio kesi!

Kunyimwa papuchi Mweusi hata kama una hela, pia ni ubaguzi!

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 

Mzee wa Wima

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Messages
542
Points
500

Mzee wa Wima

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2016
542 500
 1. Waingereza waliicha serikali Kolkata (sema tu Karakata) lakini wahindi wenyewe wakahamisha makao kwenda New Delhi! Wengi wanachanganya, NEW DELHI na DELHI ni vitu viwili tofauti, Delhi ipo ndani ya New Delhi, kiufupi Delhi ni eneo ndani ya New Delhi na New Delhi ndio makao makuu ya India.
 2. Kwa wataalamu wa Mipango-miji, maeeneo mengi ya New Delhi yalipangwa na Muingereza mtaalamu wa Mipango-miji: aitwae Edwin Lutyens na kwa heshima yake, New Delhi pia huitwa Lutyens Delhi.
 3. Eneo la viwanda lijulikanalo kama Delhi – Mumbai Corridor, ambalo ujenzi wake haujakamilika, litaja kuwa mradi mkubwa wa miundombinu duniani huku ukiwa ndani yake na Majiji 24, Mitambo ya nishati 2, viwanja vya ndege 6, viwanda 23, Bandari 2 na Barabara ya njia 6 ya urefu wa Km 1500. Wachambuzi wanasema, mradi huu ni kama vile wahindi wamedesa idea ya mradi kama huo ujulikanao kama Tokyo-Osaka industrial corridor wa Japan.
 4. Katika utafiti uliofanywa na Global Metro Bench NOVA na CoMET, usafiri wa umma (Mwendokasi) ujulikanao kama Delhi Metro (Mabasi na Treni. Kwa upande wa Mabasi ya Delhi Metro, ndio mfano halisi wa UDART yetu, kuanzia muundo mpaka rangi, cha tofauti ni kuwa, wao hawana Vituo na bara bara maalum kama sisi DSM) ndio mtandao wa usafiri wa pili kwa ukubwa duniani. Usiniulize kuhusu Mwendokasi wetu.
 5. Uwanja wa ndege wa Indira Gandhi International Airport (IGIA) ni wa 4 kwa ubora duniani mpaka kufikia 2010, na wahindi wanaamini kwa sasa, uwanja huo ndio wa kwanza kwa ubora!
 6. Kwa idadi ya watu, New Delhi ina watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18m na hii inaufanya mji huu kuwa namba 6 kwa idadi ya watu!
 7. May mwaka 2014, New Delhi ulitajwa na (WHO) kuwa ndio Jiji lenye hewa chafu zaidi duniani.
 8. Kama huvuti sigara wala bangi, na ukawa unaishi New Delhi, uwepo wako pale ni sawa na kuvuta sigara 10 kwa siku, wanasema hii ni sawa na kupata kansa ndani ya mwezi mmoja! Kama unavuta piga hesabu mwenyewe!
 9. Msongamano wa Magari ndani ya New Delhi ni sawa sawa na msongamano wa Magari katika jiji la London nchini Uingereza! Kama Tanzania, New Delhi madereva wanaendesha wakiwa upande wa Kulia wa gari!
 10. Haijathibitika rasmi, lakini ukae ukijua New Delhi, madereva wanapenda kupiga honi za gari kupitiliza, karibia gari zote zimebandikwa sticker kwa nyuma HORN PLEASE! New Delhi pekeake ina Magari 7m mpaka kufikia 2014!
 11. Tanzania wanaita BAJAJ, kule New Delhi zinaitwa Autos. Na zipo nyingi sana, na nyingi zina rangi ya kijani na njano! Huenda wanatuenzi wa Tanzania!
 12. Wakazi wa New Delhi wanaitwa Delhite. Na wengi wao hawajui English. Wanapenda na ni wepesi kuwasaidia wageni kuwapa maelekezo, japokuwa wana uhakika hawaelewani lugha na pia hawaelewi anachosema mgeni.
 13. Ni ngumu kupata papuchi India, na hasa ukiwa mgeni, na hali ni mbaya zaidi ukiwa Mweusi. Mtaa maarufu kwa biashara ya papuchi Jijini New Delhi ni GB Road, cha kushangaza zaidi, madada poa wa mtaa huu wanakaba, wanaiba na kupora chocote alichokuja nacho mteja kuanzia, hela, simu, wallet, mikufu n.k. Police wanalijua vizuri eneo hili, na mara nyingi huvamia na kusomba kila waliemkuta hapo! Inakadiriwa kuwa, GB (Garstin Barstion) Rd ina machangu 10,000+ (zaidi ya elfu 10). Ahsante sana Lucknow Univ. Tembea uone! Soma uelimike!
View attachment 468845
Mkuu hapo GB ROAD nishatimba sana enzi zangu kwa miaka mitatu kufuata PAPUCHI YA KIHINDI- nilikuwa naingia namba 72 kwa jamii ya wanepal hivi, we mkuu ulikuwa na koloni room namba ngapi..tukumbushane bwa Shekhe..
 

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
23,765
Points
2,000

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
23,765 2,000
Mkuu hapo GB ROAD nishatimba sana enzi zangu kwa miaka mitatu kufuata PAPUCHI YA KIHINDI- nilikuwa naingia namba 72 kwa jamii ya wanepal hivi, we mkuu ulikuwa na koloni room namba ngapi..tukumbushane bwa Shekhe..
Haaa. Haa. Haaa. Haaa. Namaste. Wewe jamaa noma sana. Eeeh bana Mimi sikuwa member GB Rd, nilibahatika kupata mtoto wa Kinamibia class, basi maisha yakawa murua.

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
4,319
Points
2,000

Songambele

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
4,319 2,000
Anglijie tarun dukan kahe? English wine shop hazipatikani kirahisi ila ukiingia Parika Bazar halufu za UDI ni zaidi ya kuvuta bange!
Larlikie kibao kaka sema tena ukiwa mmatumbi wanashoboka kinouma Nouma na kuanzia 50 rupie.
Nyongeza Delhi wanavyuo vingi sana ukienda Noida hutoamini jinsi wadosi wasivyotania katika Elimu.
 

Forum statistics

Threads 1,381,733
Members 526,184
Posts 33,810,285
Top