Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa.
Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa,
Vipi nawezaje pata...
Wale jamaa matapeli wanaotuma sms kwenye simu zetu zisomekazo "Ile pesa itume kwenye namba hii" wamerudi kwa kishindo sana, mara baada ya kutangaziwa kuwa walikuwa wamekamatwa hali sasa...
Baada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji.
Ni aina gani ya maji...
Heko kwenu wadau wa JF,
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa watu wakisema kuwa maji ya baraka yanayotolewa na baadhi ya makanisa huwekwa chumvi ndani yake, je hili ni kweli? Na kama ni kweli kwanini...
Nimewahi kufuatilia ukamataji na uletwaji mahakamani wa watu mbalimbali na nilichoshuhudia si kila mtuhumiwa anafungwa pingu.
Mfano Mh Mbowe na mh Matiko hawafungwi pingu.
Mramba na Yona sikuwaona...
Maana ya Jina la Gladness kwenye Bibilia Limo,
Pia Naomba kujua Hili Jina kwa kiswahili Linaitwaje?
Tusaidiane wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jumapili wadau?
Nimeandika kwa kifupi ili iweze kueleweka, pia naomba usome hadi mwisho ili uweze kuelewa vizuri.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Iko hivi kuna rafiki yangu alipanga...
MKAZI wa Kijiji cha Idete-B, Anna Msangi (26) wilayani Kilombero, mkoani Morogoro anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuua kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali kwenye titi Katarina Mangomile...
Kwa ujumla msimu huu wa mapumziko wa Xmas na mwaka mpya, ajali zimepungua sana barabarani.
Mimi ni mmoja wa wadau tunaosafiri kila mwaka toka Dsm hadi mbeya kwa mapumziko kipindi hiki...
1. What is the Tanzania e-Visa?
The Tanzania e-Visa is an electronic authorisation from the Government issued in electronic PDF format. It is the equivalent to a visa. The e-Visa is an entry...
Tatizo Hili linasababishwa na nini na a naweza tatua vipi Maana Hili tatizo limemwanza miezi michache iliyopita na anapoamka anahisi uchovu na maumivu lakini akiwa usingizini haoni anachopigana...
Niseme tu kwa sasa hali ya mazingira ni mbaya sana kila kona pametapakaa mifuko ya plastic si mjini si vijijini kila kona mifuko serikali kupitia wizara ya mazingira hebu liangalieni na hili bila...
Abiria walikuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Abood Bus Service leo Januari 6, 2019, wamenusurika kifo ama kupata majeraha baada ya basi kupoteza uelekeo na kwenda kando ya barabara.
Kwa...
Zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya wafanya biashara wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, linaendelea kwa kutakiwa kutokuwa na wafanya biashara Popo.
Mhandisi Tumaini Magesa, kaimu mkuu wa Wilaya...
Habarini wanajamii... Naomba kwa anaefahamu mawasiliano ya kampuni ya Interchick Tanzania.. Zaidi ya email yao na namba ya simu ya TTCL..nimejaribu kutumia mawasiliano hayo hayana majibu... ...
Leo nilikuwa nakashughuli Kariakoo nimebahatika kuchangia hii kampuni yetu
Kinachonitisha pale centre Kariakoo unapewa resiti za mashine...
Ukipaki njia zakwenda faya ama huku uchochoroni Kanisa...
Ndugu,kama kuna mtu ye yote mwenye habari za mzee wa mia tisa itapendeza zaidi (Dr Shika) hebu atujuze maana nimemkumbuka sana pale nilipoona miche ya dhahabu iliyokamatwa kule Mwanza,nikadhani...
*UJUMBE WA MAMA KWA MWANAE KIPENZI*
🤔🤔🤔
*"Mwanangu sikwambii uache kusoma au uache kazi lakini ukikutana na Fursa nzuri usiiache kamwe."*
*"Mwanangu utamaliza Chuo baada ya Miaka 25..."*
Jumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.