Habarini za muda huu comrades,
Ilkua siku ngumu sana kwangu leo,, ila mwisho wa siku inaelekea kuisha kwa amani kabisa!
The issue was,, wife wangu ni mjamzito na jana alienda clinic kama ilivo...
Clouds Media wametumia vipande vya sauti ya RC Mwanri wa Tabora katika tangazo lao la Fiesta ili kuvuta usikivu na kupata wateja wengi. Kibiashara hili lina maelezo yake na malipo pia kutumia...
Mzuqa
Nawauliza tu hawa watatu tena kwa ustaarabu siyo kwa nia mbaya Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji na MTAZAMO wako upande gani kati ya CAG Assad (Mzalendo) ama Spika wa Bunge Job Ndugai.
Haitaji...
Kama bunge linalinda executive na judiciary, judiciary inalinda bunge na executive na executive inalinda bunge na judiciary, then who is protecting mwananchi? My learned brothers and sisters...
Niko hapa kwa suala moja tu kuelezana mambo ambayo si ya kiungwana Miongoni mwetu
Naanza na hawa wenye vyeo serikalini
Mmekuwa mkilalamikiwa sana na hili kundi la wafanya biashara wauza mkaa wenye...
Benki Kuu ya Tanzania imetoa tangazo kwa umma kupitia tovuti yake (www.bot.go.tz) likiwataka watu na taasisi zote zinazofanya biashara ya huduma ndogo za fedha zilizoko Tanzania Bara (isipokuwa...
(Summary). Habari wana jamvi leo nazidondosha kwenu nukuu kadhaa za mzee wetu mandela ambazo nimezifanyia uchambuzi kidogo dhidi ya mustakabali wa taifa letu katika upungufu wa democracy
Karibuni...
Wajuzi wa sheria tusaidieni hili jambo
Siku hizi maeneo ya Dar es Salaam sijajua huko mikoani mkikutwa wawili wa jinsia tofauti maeneo ya viwanja vya michezo, maeneo ya wazi na maeneo ya relini...
Poleni na majukumu wapendwa
Tukiendelea kulisukuma gurudumua la Taifa mbele hebu tega macho yako uambatane nami tuangalie dhana nzima ya marehemu kusepa na mali zake
Natumai mtakuwa ni mashahidi...
TOZO ya Sh. 100,000/= wanayotozwa kama faini madereva wa bajaji katika Manispaa ya Moshi na wakala wa maegesho ya magari imeibua mjadala mzito.
Kutokana na utata huo, madereva hao sasa wamemwomba...
Mimi Niko nyuma kidogo kimahesabu ila natambua tani1=1000kg maana yake wamesafirisha kilo 2100X8000=1680000 kwa tz,sasa sijajua huko uarabuni wanaenda kuuza kwa bei gani kwa kilo... Hoja yangu ya...
Habari wakubwa wenzangu
Kama kichwa Cha habari hapo juu ,nachukua nafasi hi kuwaambia wanajukwa na kushiriakiana kupata jina jina la pesa yetu
SHILLING
Awali hi jina lilitwa na waingereza kwa...
Mzuqa wanaJF!
Hadhi ya Trekta kila muda unavyozidi kwenda inashuka. Yani hizi trekata za kisasa zimekaa kizembezembe na kimayaimayai.
Trekta haitakiwi iwe kianasaanasa. Unakuta trekta ina AC na...
Salaam Tz
Tunaenda kufunga mwaka lkn pia kuuanza mwaka mpya, miongon mwa vitu tunavyopaswa kutafakari ni afya pia kama ilivyo uchumi binafsi na mambo mengine, kama uko salama 'heri yako' na kama...
Mikoa ya kusini ilifanywa masikini makusudi na chama kikongwe kwa sababu zao binafsi.
Miongo mingi wameishi gizani na bila usafiri.
Hawakuwa na lami wala usafiri wa uhakika.
Kipindi cha utafiti na...
Serikali imefanya makubwa kuhusu maendeleo mfano, Vituo vya afya, Barabara, Hospitali, SGR, Umeme etc. Sasa ni wakati wa Serikali kuhamia kwenye ELIMU. Sekta ya elimu inakabiliwa na upungufu...
MKURUGENZI Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dk Samuel Gwamaka amesema baraza limeshachukua tahadhari zote za kimazingira kabla ya kuanza ujenzi wa mradi mkubwa...
Kuhusu kilichojiri siku ya jana haya hapa ni mawazo yangu,
Kwanza msichokijua tu he is no longer an asset.
Hiyo inaitwa piga nikupige kuna mawili jiwe anayoweza kufanikiwa/kujiharibia...
Salaam Wandugu!
Ni Miezi minne sasa tangu Nilipie huduma ya Kuunganishiwa Umeme na Tanesco Mbeya Mjini lakini mpaka Sasa Sijaunganishiwa kila nikienda Ofisini kwao wananipa sababu za Kijinga tu...
Hii imetokea this week kuna Rafiki yangu mmoja nlisoma nae jangwani girls 2007 mimi sikufanikiwa kuendelea na Advance mean nilifeli f~4 yeye akaendelea hadi chuo, UDSM
mimi baada ya kumaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.