Nini tofauti ya Imani hizi mbili

Nini tofauti ya Imani hizi mbili

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Nini tofauti ya imani hizi mbili

1:Islam
2:Roman catholic(RC)

Zote zinamuabudu Mungu,ila tofauti ni majina tu mmoja anaita Mungu kama God mwingine Mungu Kama Allah,

Imani zote zina muktadha unaofanana wa kuhubiri neno na matendo mema yatakayofanya kesho uone na kufaidi mema ya mbinguni kama ambavyo wenye imani zao wanasema,

Kila imani ina Mtume wake kama nguzo ya imani yenyewe,
1:Islam_Mtume Mohammed
2:Roman Catholic Yesu(Massia/jesus) kama ambavyo walikuwa wanaitwa,

Kama imani zote ni sawa na wanahubiri kile kitu sawa ambacho kinaendana kwa zaidi ya 80% kwa nini Kila upande mmoja wa imani unaona upande mwingine wa imani hauko sahihi yaani kile wanachohubiri ni makosa/ongofu?

Muislamu akimuona mkristo anaona kama anapotoka na imani yake vile vile,mkristo akimuona muislamu anaona kama anapotoka na imani yake,

Lakini ukija kuchunguza na kufuatilia kile wanachohubiri ndio kama hivyo vinafanana kwa zaidi ya 80% wote wanamuhubiria Mungu,wote wana ndoto ya kuuona ufalme wa mbingu,

Je tofauti ya imani hizi mbili ni nini?

Nb;
Nimeona ni bora zaidi kutumia neno Imani kuliko Neno Dini ili kutoa wasaa wa kujadili vyema mada hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui ulichoandika wewe....,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali uwenda una IQ zero kunizidi nini tofauti ya imani(Dini) hizo mbili? Kama matendo na mahubiri yake yanafanana kwa zaidi ya 80%

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unawezaje kufananisha Imani ya dini hizi mbili.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Imani ya Kristo imejikita katika;
Mateso ya Kristo
Kifo chake Kristo na
Ufufuko wake Kristo

Full Stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Zero IQ:

Duniani hamna imani inayoitwa Roman Catholic bali hilo ni dhehebu km yalivyo madhehebu mengne km Lutheran, Wasabato, Pentekoste n.k.

Neno sahihi ni Christianity na sio Roman Catholic.
 
Kama hujui vitu usipende kuandika tuu kishabiki.....

Kwanza Katoliki(Catholic) sio dhehebu...,

Nini maana ya Dini....????
Nini maana ya Dhehebu...?????

Dini ni kikundi cha watu walioungana kwa lengo moja.

Dhehebu ni tawi lililochipuka kutoka kwenye dini baada kukosa maelewano.

Kanisa Katoliki(Catholic Church) ni Dini iliyoanzishwa na Yesu mwenyewe pale Jerusalem siku ile ya pentecoste.

Kwahyo Dini ni moja ndani ya Ukristo ambayo Katoliki(Catholic).

Sasa hayo majina mengine Roman Catholic ni story ndefu kidogo ambayo inahitaji Uzi.

Yesu alianzisha Roman catholic ya wanywa pombe, waabudu sanamu, na wana Baba yao mtakatifu duniani.....acha comed bas😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom