Tanzania Mungu katujalia kuwa na maji ya kutosha na ardhi ya kutosha sana. Kwa Africa Tanzania ni ya pili baada ya DRC kwa kuwa na maji baridi mengi. Maji haya mengi yapo kwenye ziwa Tanganyika...
SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na...
Jamani wana JF,
Naombeni msaada kwa hawa TANESCO nifanyeje coz nililipia kufungiwa umeme tangu mwezi wa 9 tr 19 mpaka leo tr 19 mwezi 12 sijaona kitu chochote kikifanyika, nimejaribu kufuatilia...
Mimi ni mtumiaji mkubwa wa mabasi kwa safari zangu nyingi za mikoa tofauti.
Lakini majuzi trh 29 December 2018 nilisafiri na basi la Kisesa (Kwa jina) lakini biashara inaendeshwa na zuberi kwa...
Naomba kujuzwa wadau na wajuz wa sheria no IPI sheria na hukumu ya MTU anaekutumia mesej za matusi via messenger message na kuptia watu ...nikitaka kumfungulia mashtaka ..ushahidi wa message nnao...
Jamani hii njia ya kuangalia faini za magari makosa ya usalama barabarani imekuwaje? Siku kama tano hivi haifanyi kazi, je wamebadili utaratibu? anayejua atujuze.
Wanajukwaa, nimeanzisha uzi huu tuzungumze kuhusu usalama vivuko vya pantoni kuelekea kigamboni. Je serikali inachukua hatua stahiki kuhakikasha vivuko vinakuwa salama zaidi,? Je huduma za vivuko...
Nimesononeka sana baada ya kuona Tanzania inatapeliwa kwa kusanifiwa jengo la stesheni ya SGR ambalo binafsi naamini ni moja ya vituo ambavyo muonekano wake kwa nje ni wa ajabu sana. Hivi hakuna...
DAR ES SALAAM IMEANZA KUPOTEA MIDOMONI MWA WATU..!
Kwanza nianze kwa kutoa salamu kwa jf member wote heri ya mwaka mpya,Pia tushukuru Mungu kutuweka hai mpaka muda huu...!
Kama kichwa cha...
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), amegonga mwamba mahakamani. Ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, “kuzima” mkakati wake wa kuchelewesha kesi ya kupinga...
Hivi unafikiri duniani umekuja kufanya nini? Au Wewe kwa mawazo na akili yako unafikiri duniani hapa umeletwa kuja kufanya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai kuwa wengi ni wazima humu jamvini.
Niende kwenye mada.
Majuzi nilienda kununua TV duka fulani Kariakoo,
Ikawashwa kwa majaribio na ikawaka.
Nilipofika nyumbani nimeiwasha, imeonesha kwa...
'Kwa kipindi cha karibu kumekuwa na msisitizo mkubwa sana katika masomo ya sayansi, jambo ambalo ni nzuri sana kwa kupata wataalamui ambao ni adimu katika tasnia hii, lakini pia sisi kama wazazi...
1. Ubabe wa Kujenga
2. Uonevu wa Kujenga
3. Ukakamavu wa Kujenga
4. Bakora nyingi za Kutia Adabu
5. Mateso ya Kujenga
6. Kupikiwa Vyakula Vibovu na Vichache ili Kujenga Uvumilivu
7. Kupewa Kazi...
Ikiwa ni miezi karibu kumi toka nilete ombi langu humu jukwaani la kutaka kusaidiwa kujiunga na shule ya sheria Tanzania, na kwa mapenzi ya Mungu likafanikiwa, na nikaleta mrejesho, wachache...
"Mpango wa Serikali ya Mkoa ni kuhakikisha kwamba DSM inakua ni ya usiku na mchana, hautazidi mwezi wa pili kutakua na tamko rasmi la kuhakikisha DSM ni ya usiku na mchana" -RC Makonda
Sent using...
Strait to the aim,nna mdogo wangu kamaliza chuo kimoja cha ualimu diploma ya ualimu wa shule za msingi(odpe) mwaka jana mwezi wa nane lakini alihitimu akiwa anadaiwa ada kidogo tu.Sasa mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.