Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii nimeisikia sehemu, kuwa kutokana na wingi wa wanafunzi, Mkuu wa Shule fulani jina kapuni amekaa na Walimu na kuwataka wachangie fedha kiasi cha ... na akawapa muda maalumu wa kuchangia Swali...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Habari Binaadamu tumeumbwa tukiwa ana kitu ndani yetu Kinachitwa Huruma tunapozaliwa jinsi tunavyoendelea kukua ndio huruma hiyo inazidi kupungua au kuzidi kuimarika kutokana na mazingira...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Toka imeanza issue ya 1.5T ikaja ya koroshow, Vikokotozi, wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shule na hili la CAG sijawasikia wakitolea maoni wananchi wao au wanaona ni sawa tu, Na wakiwa bungeni...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Vyuo vikuu ulimwenguni ni chanzo cha kuzalisha nguvu kazi ya kuendesha uchumi na maendeleo kwa ujumla sehemu husika na duniani kwa ujumla. Lakini hapa Tanzania baadhi ya vyuo kwa makusudi...
16 Reactions
474 Replies
72K Views
UKWELI KUHUSU MSHAHARA. 1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ya ukoo. Siku utakapoacha kuufanya mshahara wako mali ya ukoo ndipo siku mshahara huo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, jamani naomba kuelekezwa mtaa wa "Indiragandi" wa kariakoo yalipo makao makuu ya kampuni ya Muhammed enterprises sijui nitakuwa sahihi kimaandishi ni wapi? Nikitokea Mbagala, nataka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
TWENDE NA DAKTARI WA YANGA KWA MAENDELEAOOOOOOOO
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najua mambo ya dini hayaruhusiwi humu ndani ila kwa kuwa ni jambo la uhutaji haitakuwa ni tatizo kuliweka hapa. Ni kwamba nahitaji msaada wa deliverance kiroho kwa ajili ya mwanangu tafadhari mtu...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
Amefikishwa mahakama ya Wilaya ya Dodoma na kusomewa shtaka la kushambulia mwili. Akisomewa shtaka hilo leo Jumatatu Januari 7, 2019 mbele ya hakimu wa mahakama hiyo, Anold Kirekiano, mwendesha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Uzuri nchi hii imejaa watalaam wa sheria, sasa kwanini viongozi wetu hamuwatumii hawa watu ili wawape ushauri wa kisheria.?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuseme tu ukweli watu wamekuwa wavivu kuchemsha maji ya kunywa jamani! Hasa kwa sisi watu wa hali ya chini ambao hatuwezi kumudu kununua kila siku....Ujumbe wangu wa kufungia mwaka: MAJI...
10 Reactions
52 Replies
8K Views
Asalaam ndugu watanzania, Elimu ni ufunguo wa maisha hususani katika mataifa yetu ambayo yananyanyukia kiuchumi,hakuna taifa linalotaka kwenda mbele kwa kuharibu utaratibu wa elimu ya watu wake...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
mi limenitisha sana mpaka kusisismka... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa waliosoma gazeti la NIPASHE la leo tarehe 8/1/2019, watakuwa wameona habari inayoripoti jinsi ambavyo watu na wanachama wa mifuko ya jamii wanavyosumbuka na kupigwa danadana juu ya mafao yao...
2 Reactions
2 Replies
867 Views
CAG amtingisha Ndugai, adai bunge limekosa mvuto!!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Inavyoonekana waliotaga yai la kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu walitaga, kuatamia na kutotoa kikokotoo hicho kimyakimya bila ya kumtaarifu Mkuu wa nchi, vinginevyo asingeshangaa vile kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi nyie tanesco wa mwanza kutoka hicho kituo chenu cha Nyakato mnatutafuta nini sie wananchi wa buswelu,yani Leo mnafanya kazi ya kukata umeme na kuwasha Yani kama mnachezea switch hivi Sasa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau nataka kuwaojesha chapter Tatu za kitabu changu ambacho kitakoka kwenye Robo ya tatu ya mwaka huu Chapter One God's failure Human worship God, The faith in God make believers vulnerable...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
New African Or New Fabrication?; An Open Letter to the New African Magazine Dear editor, as a concerned East African, I have read and understood the article named “Two Sides to the Magufuli Coin"...
1 Reactions
2 Replies
948 Views
Back
Top Bottom