Natamani kuiona Tanzania hii

Natamani kuiona Tanzania hii

BALOTEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
666
Reaction score
894
Asalam alekhum, bwana yesu asifiwe, tumsifu yesu kristo , namaste

Najivunia kuwa mtanzania ,najivunia kuwa mwafrica na najivunia kuzaliwa Africa.

Kwa umri huu mdogo nilionao najiona mwenye bahati kuwa katikati ya miamba na majabali wa Africa Kwa uongozi na utawala.

Wakati naaanza kujifunza kusoma nilipenda Sana kusoma historia za watu maarufu dunian na nini kilichowapa umaarufu. Nilitamani kuwa Kila niliyemsoma.

Nilipoanza kujua maisha na yanayofanya maisha kuwa maisha nilianza kutamani dunia nyingine itayokua na Yale ninayoyatamani.

Nilipogundua kuwa Mimi ni mtanzania nilianza kujiona wa tofauti Sana na raia waliotenganishwa na mipaka mingi Africa

Hakika Mimi ni tofauti na tofauti kweli.
Kwa namna na jinsi tulivyo waafrica hakika ni baraka kuwa mtanzania.

Kwa namna na jinsi tuishivyo sisi ni binadamu wa tofauti Sana.

Kuanzia utamaduni wetu na siasa zetu.

:;;;;;;; Narudi::::::

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom