Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini za usiku huu Naombeni kujua je ntakuwa salama kwa kiasi gani kwenye kuitumia JF Je endapo nafungua e-mail ya uongo, then naitumia kufungulia account jamii forum, je hakuna uwezekano wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
January 11, 2019 Mfanyabiashara Mohamed Yusufal aliyetajwa na Rais John Magufuli kuiba Mil.7 kwa dakika na mfanyakazi wake, Arital Paliwala wamesomewa mashtaka 600 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu kwa namna moja ama nyingine mtakubaliana na Mimi. Mkuu wetu wa nchi hajawahi kudanganya, ana silka ya usema kweli, "He is honest smart guy" Nani hajui na hajawahi kusikia Mh. John enzi...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimezunguka sana natafuta kazi nimekosa, nilianza na vogezo stahili kulingana na elimu yangu sijaweza fanikiwa mpaka kazi za kibarua nazo nakosa. Nikiangalia maofisini nawakuta vijana wakike na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wengi naona wanaweka profile zao picha mbali mbali.leo tuambiane maana zake Mimi yangu ina msosi flani na panya wa kukaanga safi. Maana yake ni kuwa kuna nyakati nilikuwa kilimanjaro kimaisha...
4 Reactions
215 Replies
15K Views
Promota Wa Ngumi Za Kulipwa Nchini Jay Msangi Jana ameondoka Tena Kwenda Na Bondia Denmark. Je Wenzangu Mmepata Yale Majibu ya Tuhuma za Prmota Huyu Wa Ngumi Za Kulipwa Kuwadhulumu Fedha zao wale...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
heshimu pesa-usizipende Kwa mpishi,kisu chenye makali Ni kifaa muhimu.lakini kisu hicho hicho kinaweza kuleta madhara makubwa kikiwa mikononi mwa mtu asiye na ujuzi au asiye makini.PESA Ni kama...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
source : Nipashe: Tangu 1964 SMZ haijawahi kuangusha wakulima karafuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NI umbali wa kilomita 20 kutoka Lushoto mjini, kunakopatikana Jiwe la Mungu’ kivutio hicho chenye unyayo wa binadamu, ambao unaoelezwa kuwasababisha watalii wengi kuona kwamba ni ‘maajabu ya...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari, TBC Nawapongeza TBC kwa kutuletea TBC3 ambayo kupitia kipindi cha SAFARI TANZANIA, Tunafaidi na kujifunza vivutio vyetu katika hifadhi za Taifa, hivyo akina sisi tunahamasika kutembelea...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kibondo mkoani hapa, imekamata nguo zinazofanana za sare za kijeshi katika makambi ya wakimbizi. Akizungumza na waandishi na kamati hiyo mjini hapa leo...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Unanunua kifurushi cha internet 8gb mchana 3gb usiku 5gb,unarudi home ukijua mechi zote live utona, lkn ukishajiunga tu na internet inapotea labda uwe karibu na maeneo ya ofisi zao,mbaya zaidi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Spika Ndugai umesikika tena ukitamba eti CAG prof. Assad asipotii amri yako batili ya kwenda mbele ya kamati ya maadili ya bunge, utamshangaza. Utamshangaza kwa lipi? Huna uwezo wa kumfunga jela...
9 Reactions
13 Replies
3K Views
Dunian kuna sheria na kanuni nyingi, kila jamii, taasisi,serikali n.k ina sheria zake ya kipi ni halali kufanya na kipi sio halali kufanya. Sheria na kanuni hizi zipo ili kuleta mahusiano mazuri...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara ya mwisho tulolionana Dar,ulikuwa unaishi Kinondoni Biafra,popote ulipo tafadhali naomba uni PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF Nimetafakari kwa kina kuhusu mapito nchi yetu katika kipindi hiki cha kuelekea uchumi wa viwanda na kuelekea uchumi wakati, kuna hali inyoonyesha kuna matabaka kati ya wanaoamini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu Nimekuwa na tatizo la kwikwi kwa siku ya pili sasa.kwikwi hii huja pale tu ninapoweka chakula kwenye tumbo. Nimeshaenda hospital na kufanya vipimo mbalimbali lakini hawajaona kitu...
0 Reactions
69 Replies
14K Views
Mzuqa wanaJF! Naisubiria kwa hamu mechi ya Manchester united Vs Tottenham Hotspur itakayoanza baada ya dakika 15 napoandika huu uzi. Natabiri itakuwa ta kusisimua na ushindani mkubwa sana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE PERSONS OF THE YEAR AWARD & INDUCTION INTO THE CEOS HALL OF FAME, JOHANNESBURG-2019 - African Leadership Magazine BREAKING NEWS: Rais Magufuli ametwaa tuzo nyingine...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom