Ushauri wenu Wataalamu wa usalama mitandaoni

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,184
Reaction score
3,221
Habarini za usiku huu

Naombeni kujua je ntakuwa salama kwa kiasi gani kwenye kuitumia JF

Je endapo nafungua e-mail ya uongo, then naitumia kufungulia account jamii forum, je hakuna uwezekano wa account yangu ya gmail kudukuliwa na baada ya kudukuliwa,

wakaangalia kifaa gani kilitumika kuifungua iyo account, wanaweza kuta ni komputa, kumbuka wakati wa kufanya installation ya operating system inatupaswa kuandika majina yetu je kwenye e-mail hawezi kuta jina la komputa iliyotumika kufungulia iyo e-mail ?

Kama sio, je modem au internet iliyotumika awawezi kujua namba ya line kwenye iyo modern?

Naombeni kuhakikishiwa kwa kuelezewa mawili matatu kuhusiana na kuwa salama kwa member wa JF wa kutokufatiliwa kwa member wake?

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana unatumia email kutoka kwenye domain name ipi km ni go.tz sawa haupo salama ila km ni google ac au ymail nk mlolongo wake ni mrefu na ugumu upo
 
Hapa sie wote tunadukuliwa na Mexence Melo na wenzake.....wanawauzia kina Zitto kila kilicho chetu....ukimkashifu Zitto ama Lissu kina Maexence wanawapelekea ripoti.
 
jaribu mkumtext DC wa pwani uone mrejesho
 
Back
Top Bottom