Mliopata kazi maofisini mlipataje?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,560
Nimezunguka sana natafuta kazi nimekosa, nilianza na vogezo stahili kulingana na elimu yangu sijaweza fanikiwa mpaka kazi za kibarua nazo nakosa.

Nikiangalia maofisini nawakuta vijana wakike na wakiume wa umri wangu wapo maofisini.

Ndugu zangu nyinyi uwa mnapataje kazi?
 
Tajirimsomi jina linakuponza jamaa yangu...labda nikutie moyo,kila jambo lina wakati wake..jambo la muhimu usikae tu..tafuta connection na watu tofauti..pendelea kwenda maeneo ya watu classic jipendekeze piga nao stori..ramani zinaanzia huko..usijifungie ndani na kuangalia seasons tu.
 
Viongozi wetu wanapiga kelele vijana wajiajiri, sijui wajiajiri vipi ikiwa wako penniless!
 
Tajirimsomi jina linakuponza jamaa yangu...labda nikutie moyo,kila jambo lina wakati wake..jambo la muhimu usikae tu..tafuta connection na watu tofauti..pendelea kwenda maeneo ya watu classic jipendekeze piga nao stori..ramani zinaanzia huko..usijifungie ndani na kuangalia seasons tu.
H h ha ha kuhusu nini mkuu
 
Ajira bado hazijatoka endelea kusubiri, kuwa mvumilivu! ajira ni mchongo! zinazotangazwa ni bosheni tu! Umesomea nini kwani Mkuu! Tuanzie hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom