Profile yako ina maana gani na ya nani?

Profile yako ina maana gani na ya nani?

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,625
Wengi naona wanaweka profile zao picha mbali mbali.leo tuambiane maana zake

Mimi yangu ina msosi flani na panya wa kukaanga safi.

Maana yake ni kuwa kuna nyakati nilikuwa kilimanjaro kimaisha sasa walipojua natoka kusini walinitania sana kwamba wana kusini tunakula panyaa,sasa nilipokuja kupata smartphone nikaweka kwamba ni kitambulisho cha kusini wala panya,hiyo ndo maana yangu.

Wewe je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwah kuwala?
Ni hawa panya Wa ndani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwah kuwala?
Ni hawa panya Wa ndani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sijawahi kuwala kwa sababu wamwera(lindi) huwa hawana historia ya kula,wenye historia ni wamakua wa masasi(mtwara)ndo wanakula sana hao ila cku hizi mara chache tena vijijini.

Mimi nimeweka kwa sababu niliposnza kutembea watu wakawa wana tujumuisha wakusini wote kwa tabia moja,nikaona sio mbaya kuweka identity hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom