Tofauti kati ya omani Baisa na Omani riyal

Tofauti kati ya omani Baisa na Omani riyal

kelvnjohn

Member
Joined
Dec 12, 2018
Posts
34
Reaction score
17
naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz pekee maan Nina baisa naitaji kubadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom