nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Unanunua kifurushi cha internet 8gb mchana 3gb usiku 5gb,unarudi home ukijua mechi zote live utona, lkn ukishajiunga tu na internet inapotea labda uwe karibu na maeneo ya ofisi zao,mbaya zaidi mnara uko full tena imeandika H+,sasa piga huduma kwa wateja ndio utachoka kabisa,jibu ulilopewa wiki jana ndio hilo hilo umepewa juzi na utapewa leo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app