Mathayo Fungo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 320
- 515
Habari wana JF
Nimetafakari kwa kina kuhusu mapito nchi yetu katika kipindi hiki cha kuelekea uchumi wa viwanda na kuelekea uchumi wakati, kuna hali inyoonyesha kuna matabaka kati ya wanaoamini kuwa inawezekana kufika kwenye uchumi wa kati na wengine hawaamini kabisa kwa hilo.
Kwa watanzania wengi tunapenda assurance ya faida ya biashara na shughuri zetu, hilo nadhani ndo linaloleta hofu kwa watu wasio na ushabiki wa vyama ambao hata akipata milion 10 atafanya biashara ya tsh laki 3 huku pesa nyingine akiendelea kula taratibu. Hebu tufunguke watanzania kuna muda tunahitaji kutumia mtaji wote na huku tukikuza tumaini letu katika hiyo biashara. Kwa wale wanaopambana kwa ajili ya kupata nafasi ya kuongoza nchi (wanachama) hao wengi wanakwenda tu na upepo wa watu walio nyuma yao. Kwani hata ndani ya chama tawala wapo watu hawaamini kuwa hilo jambo linawezekana yaani kuwa na mil 10 na kufanya biashara ya mil 10 inawatesa sana lakini hawana namna inabidi wafuate mawazo ya chama. Kwa hiyo tujitie moyo huku tukijifunga mkanda na kujiongezea tumaini kuwa ndani ya miaka 15 hadi 20 tutakuwa tumesonga hata kwa 70%. Tujitie moyo jamani!!!!