Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

OFISA Uhamiaji wa Mkoa wa Geita, Naibu Kamishna, Wilfred Marwa, amesema bado kuna wimbi kubwa la wahamiaji wanaoingia nchini na kwa mwaka jana waliwakamata 624. Kwa mujibu wa Kamishna Marwa, kati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila mtu siku hizi anafoka . Hakuna tena kuelekeza , kuonesha njia , kutoa maoni, kutia matumia, wala kufariji, naam ......kufoka ni ndio mtindo was sasa , kila mtu anafoka , tumekuwa watu wa...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
nashukuru kuzaliwa tanzania.ila kwa nchi yangu ndio naona nchi pekee ambayo kilichomo hakina faida kwako au kwetu mfano madini,mazao na n.k ukienda mwanza au kanda ya ziwa unaweza kusema hapa...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Afande Muslim askari wako wanatutesa madereva, hivi tunapoamini wanausalama ndio watetezi wetu, kweny ajali, ujambazi wakutekwa au kutegewa magogo leo unakuja kukunjwa unavuliwa shati unaumwa meno...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Wahenga, Nimeshangazwa baada ya kurefresh new posts, nikaona ile thread ya huyu Kijana Emma kwamba imetazamwa/kusomwa na watu 11138, Comments 282, Likes 43 ila aliyethibikika kummchangia hadi...
5 Reactions
133 Replies
12K Views
Nimetumiwa ujumbe toka namba 0759965429. Ujumbe ulio ambatanishwa unasema "TATU MZUKA (Jackport) Hongera Umeweza Kujishindia Milioni 6,000,000 Katika Droo ya Saa 4 Kamp No. 555111 Tatu Mzuka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Si tumeelewana kipindi hiki linakuwa kule kusini mwa dunia sasa mbona kama limebaki hapa kwetu tuu!!
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa Watu watatu wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe, wakishtakiwa kuiba mkoba uliokuwa na $150,000 (£117,600) pesa taslimu...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
"Mradi wa Maporomoko ya Mto Rufiji kukamilika Aprili 12, 2020, litakuwa na uwezo wa kujaza maji mita za ujazo Bilioni 35.2" Dkt. Medard Kalemani, Waziri Nishati - Januari 13, 2019. "Tumekuja...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau Naomba msaada wenu namna na mchakato wa kuandaa tamasha la mjadala wa hamasa kwa vijana. Nataka kufanya hiki kitu ila sijui pakuanzia namna ya kupata kibali, wadhamini, watoa mada...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Magu anafikiri nini na sijaelewa amekata mfereji wa ajira tumekaa kimya ameharubu sekta ya afya Muhimbili watu Wanakufa maiti wanazikimbia madeni. hakuna Huduma bure wajawazito Wala mtoto ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wana bodi. Naomba kujuzwa alipo huyu Gwiji la habar bwana Dotto Bulendu. alikuwa anaendesha kipindi kikienda kwa jina la "JICHO LETU NDANI YA HABARI" Ghafla kipindi kile kikafyekwa nadhan mwanzoni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAKALA wa Barabara (TANROADS) mkoani Pwani unatarajia kutumia Sh bilioni 25.4 kwa ajili ya kufanya matengenezo ya barabara zake mbalimbali. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na mhandisi wa wakala huo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF Hawa watu ni watu wema kabisa, wametukaribisha Dar es Salaam wengine wazazi wetu wakija na matongotongo kwa kauli ya Hayati Ditopile Mzuzuri. Nafikiri ni wakati wetu kurudisha...
5 Reactions
58 Replies
7K Views
Wakuu msaada mwenye kujua kuhusu mmiliki wa hio company?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna kitu kinaitwa mizani, mizani ni kifaa cha kupimia kitu kwa vipimo vya kilo, mizani inazaa neno mizania. Mizani haitakiwi izidi upande wowote wa kile kinachopimwa. Ikizidi upande wowote kuna...
16 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu habari za jumapili.. Awali ya yote napenda kuwapongeza wachezaji, kocha, benchi la ufundi uongozi mashabiki,wapenzi, wanachama wa Simba football club. Na Watanzania wote kwa ushindi wa Jana...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kufaham hii sanamu huwa inamaanisha nn? Nimewahi kuiona kwenye baadha ya nyimbo na muvi.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SHERIA MPYA YA BOT-2018 NA WAKOPESHAJI WA BODA BODA NA BAJAJ Wakuu naomba msaada wenu kuelewa mahusiano yaliyopo kati ya hii sheria mpya ya BOT Kusimamia huduma ndogo ndogo za kifedha ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kenyan passport was ranked the most powerful in the region, followed by Tanzania’s, Uganda’s, Rwanda’s, Burundi's and South Sudan’s.The ranking comes at a time when EAC member states are...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom