WANAFUNZI 30 wa shule ya msingi binafsi ya Little Treasure, iliyoko Manispaa ya Shinyanga, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali wakati wakirejeshwa nyumbani kutokana na dereva wa basi hilo...
Baada ya ndege ya pili aina ya AirBus A220-300 kupokelewa hapo jana, na Mhe. Rais kuwaruhusu kutumia ndege mbili za Rais, kazi sasa imebaki kwa ATCL kujituma na kuonyesha kuwa hata mashirika ya...
JE UNAJUA KUHUSU UKIMWI KWA KIASI GANI?
Habarini wana Jamii forum…
Leo ningependa tuweze kufahamishana machache kuhusu gonjwa hili hatari la UKIMWI kwa kugusia vipengele vichache tu ambavyo...
Kwa masikitiko makubwa leo sisikii kipindi cha Pachanga hapa TBC FM 90.0 MHz (Dsm)
Pachanga ni kipindi kinachopiga miziki ya dansi ya ndani ya nchi yetu Tanzania na kimekua msaada mkubwa katika...
Habar za leo ndugu wanabodi,
Mods naombeni msiuunganishe uzi huu na nyuzi nyingine ili watu tuweze kupeana elimu na kuokoa kizazi
Pamekuwepo na tatizo sugu la watu kujiua Duniani kote (to both...
ndugu wana jf Mimi binafsi siamini hata kidogo tathmini ya ccm na serikali yake eti kwa miaka mitatu ya jpm viwanda 3000+ vimejengwa yani uhesabu moja mpk elfu tatu ni maviwanda tu Hapana hili...
Hello Jf,
Leo napenda kuongelea jambo hili linalotutesa waafrika wengi. Jambo hili ni nanma gani kama familia tunafanya makosa ya kiuchumi na kupelekea familia zetu kuwa masikini.
Ni nadra sana...
ndugu wana jf wanasiasa wetu wanatuambia kwamba kwa kipindi cha miaka mitatu toka awamu ya tano imeingia madarakani viwanda 3000+ vimejengwa
Naomba tutumie uzi huu kuvitaja popote ulipo hata...
Ikiwa imebakia miezi michache kabula ya kuanza kwa michuano ya Afcon chini ya umri wa miaka kumi na saba ambayo kwa mala ya kwanza itafanyika Tanzania, nimeshutushwa na ubaguzi unaofanyika katika...
wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza...
Habari wana JF naamini kuna watu uzi huu hauna mashiko kwao kwa hiyo komenti iwe fupi fupi kidogo
Waliofanikiwa kupita interview hadi kwenda kwenye vipimo je kuna aliekwisha itwa?(Medical personel...
Ukikaa ukaichunguza akili ya mwanaccm lazima upatwe na mashaka kuhusu uwezo wao wa kufikiria upo vipi, lilikuja swala la kikokotoo ndio wakawa wakwanza kulitetea watu wapunjwe mafao yao, Rais...
Wakuu, toka wiki hii ilivoanza nilisisitiza sana suala la ndugu vijana na wazee kuja kusalimia viongozi wetu wa kisiasa,makazini huko pia hata ndugu hata marafiki ambao mpaka leo wapo mahabusu...
Enzi hizo wakati nasoma mimi sikuwahi kusoma Boarding, nlikuwa nasoma Shule ya Day, lakini Vijana wangu waliokuwa wakitoka Boading kipindi cha likizo walikuwa wakilia lia sana harufu ya mafuta ya...
Wadau ninaomba kupewa uhakika, je ni kweli Ndege zinazokuja Tanzania kwa sasa Airbus a220-300, ndiyo ndege kubwa kuliko zingine Afrika? Kama siyo hivyo, kwa nini watanzania wanazipa sifa hiyo? Ni...
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), Profesa Abiud Kaswamila amekabidhi Sh bilioni 1 za ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Karatu na vituo viwili vya...
PATO LA TAIFA LAONGEZEKA VISIWANI ZANZIBAR KWA 30%
Hayo yamesemwa na Rais wa Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.