Siku ya leo ni ya furaha sana kwangu kutokana na haya maamuzi magumu niliyoyachukua ya kwenda kupima ngoma katika hospitali moja kubwa jijini DSM!!
Maamuzi haya yametokana na tabia ya kuuza...
Dear Mr. President: We need to talk about real issues affecting our people across Tanzania
1. Poverty
2. Poor Education
3. Health outcomes are worse in Tanzania
4. Democracy
5. Sustainable...
KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu Afya Dkt. Zainab Chaula leo amekutana na Wakurugenzi wa idara na Wakuu wa Vitengo wa wizara hiyo tangu...
naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz...
Nimekutana na mzazi akilalamika kuwa amempeleka mwanae kidato cha kwanza katika shule tajwa na ameagizwa amnunulie dawati na kuchangia ujenzi wa majengo ya madarasa, kwakweli analalamika sana...
Hii sehemu inakera sana mtu unafatilia ID wee na majibu yao hata sio mazuri ivi mnadhani hizo ofisi ni za baba enu? Mtu anaeleza umuhimu wa ID kwa haraka nyie mna relax tuu wajinga sana...
JKCI yaokoa maisha ya wagonjwa 3,330
By Mtanzania Digital -
January 13, 2019
NA VERONICA ROMWALD- DAR ES SALAAM
TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imeokoa maisha ya watu 3,330 waliokuwa...
Habari wadau,wenye uelewa wa haya mambo mnisaidie hivi kama TV zinalipa kwa wenye satellite gharama zikoje? Na kwanini watumiaji tunazipata bure kwenye visimbuzi vya zamani km Mediacom Strong...
Polisi wilayani Sengerema maeneo ya Buchosa wamesababisha kifo cha dereva bodaboda aliyekuwa amebeba samaki maeneo ya Buchosa baada ya kumgonga na gari wakati wakimfukuza baada ya kukaidi kusimama...
Naandika ujumbe huu nikijua wakuu wa vyombo vya usalama hususan polisi wanapitia humu na wanasoma malalamiko ya wananchi. ukiachilia mbali matukio makubwa ya huko nyuma ya watu kupotezwa , kupigwa...
Habari wana jamii!, naomba msaada kujua wapi ni sehemu nzuri kufikia karatu (guest house) ambako ntaweza ku park na gari, bei isizidi 40k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mirungi/Mairungi,Miraa,Veve,Gomba,Kashata n.k. ni baadhi tu ya majina wanayoyaita mmea huu,sanasana huku Kenya.Pia kunao mmea unaotumika Kenya kama tu mairungi na vijana sanasana, unaitwa Mogoka...
Mtoto wa kike wa miaka 12 Milembe Maduhu amekutwa ameuawa kwenye nyumba ambayo haijakamilika katika kijiji cha Lamadi kitongoji cha Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu,ambapo watu 3 wanashikiliwa...
Ukisikiliza wanasiasa unaweza ukiadhani ndege zetu ni kama maguta.
Onjeni muone bombardier za Magufuli ni shida..
Mandhari ya ndani safi kabisa...
Ikipaa na kutua haina kelele za mabawa kama ndege...
UWEKEZAJI wa kiwanda kipya cha kutengeneza viatu kinachojengwa unatarajia kutoa ajira za kudumu kwa Watanzania 3,000 kitakapokamilika.
Naibu Mkrugenzi wa kiwanda hicho kitakachoitwa Karanga...
Salaam jf.
Nilkuwa napenda kutoa ushauri juu ya idara ya ulinzi wa Dr. Magufuli kwamba mimi mwezenu nimevutiwa sana na hizi gari za Kimarekani Chevrolet suburban, ziwe ndio za kipaumbele katika...
Habari za muda huu wapendwa,
Nitumie njia gani kutumiwa pesa kutoka Uganda kuja Tanzania?
*Inawezekana kupitia bank? (visa or mastercard)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF wenzangu habari zenu!
Mimi naja mbele yenu kuomba maelezo ya kutosha na yenye mantiki Je ni kwa nini wanaume ndo tutoke mahali na sio mwanamke atoe kwa mwanaume??
Hii ni kwa maisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.