Mkate/Divai anayokula Mh Rais kanisani uwa inapimwa?

Mkate/Divai anayokula Mh Rais kanisani uwa inapimwa?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Mara nyingi naona mh Rais akiwa kanisani uwa kuna kitu anapewa mkononi na padre anajilisha..na kuna siku1 niliona kapewa kikombe akanywa.

Nimeuliza kwa wataalamu wameniambia ni Mkate na divai,hivi kwa usalama wa chakula cha mh Rais uwa vinapimwa au inakuwaje?

Ninavyotambua katika nchi Mh Rais ndio RAIA na1 usalama wake ni muhimu kuliko yeyote yule,wanasema hakuna wa kumwamini katika usalama wa Rais hata wenyewe kikosi maalumu cha Mh Rais wanataratibu zao ambazo ni ngumu sana.

Nimeuliza nataka kujua pale ni kanisani kuna utaratibu wake ambao siamini km kuna MTU anaweza kuuingilia zaidi ya viongozi mapadre wenyewe.

Naomba tujadili kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali fikirishi, tumbo likiuma atajua chanzo ni kipi kwahiyo ni rahis kubaini,
 
usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza
kuna watu wanajua kuliko unavyofikiria wewe
 
Back
Top Bottom