zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Jiji la Dar es salaam kwa sasa lipo kwenye kipindi cha mvua,kuanzia majuzi jana mpk leo mvua inanyesha tu.
Nimuombe Mungu apeleke gharika kwenye madanguro yote yaliyo chukizo mbele ya binadamu na kwake pia.
Kwani biashara hyo sasa imeota mizizi ya kujiuza binadamu.