Basi(daladala) nyingi zinazo zinazofanya safari ndani ya Dar es salaam zimechoka, ni scraper

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Habari wakuu

Kiukweli kwa hadhi kubwa ya jiji letu kuu la Dar es salaam iliyonayo haifai kuwa na basi zinazotumika kusafirisha watu ndani ya jiji hili

Basi zimechoka saaana kiasi kufikia kuonekana kama chuma chakavu na wala hazivutii kabisa

Kwa zinavyooneka barabarani ni sawa na uchafu na takataka barabarani, zinachafua mazingira na kuleta foreni zisizo na ulazima ndani ya jiji

asilimia kubwa ya daladala (dsm) zinazoenda mbagala na gongo la mboto hazina viwango vya kukazita viunga vya jiji hili.

mamlaka husika zinazodili na usafiri ndani ya jiji ziliangalie swala hili kwa kuziondoa basi chakavu zote zinazochafua jiji hili muhimu na taswira ya taifa zima

mniwie radhi wale wote mnaofanya biashara hii kwa kutumia vyuma chakavu vinavyotembea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi sana kwa taarifa yako ukiona vitendea kazi vya biashara husika ni dhaifu, vimechakaa, wahudumu hawana raha, wachovu n.k tambua kuwa hyo biashara HAILIPI IPASAVYO, Na hizo daladala kuwa hivyo aidha 1.sumatra imewabana sana kwenye nauli au 2. walengwa wateja hawana uwezo mzuri wa kipato 3. Unfair competition ushindani uliokithiri. SIO KABISA WAMILIKI na wao wanategemea matokeo ya hivyo vigezo
 
Back
Top Bottom