Halima Mdee anamuuguza mbunge mwenzake wa jimbo la Bunda, Mh Ester Bulaya.

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
111
250
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku ya alhamisi ya Februari 7, 2019 ilielezwa kuwa mbunge wa Kawe (Chadema), Mh Halima Mdee alishindwa kufika kusikiliza kesi yake inayomkabili kwa kuwa anamuuguza mbunge mwenzake wa chama hicho jimbo la Bunda, Mh Ester Bulaya.

#MyTake Haya ni majukumu ya kawaida ukiwa KICHWA cha familia, ila sijajua kama ni majukumu ya kawaida kwa mfanyakazi mwenzako.

Kutohudhuria mahakamani bila sababu za msingi ni miongoni mwa mambo ambayo yanaweza kusababisha ukafutiwa dhamana kwa kukiuka masharti ya dhamana yako.
FB_IMG_1549804882309.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,008
2,000
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku ya alhamisi ya Februari 7, 2019 ilielezwa kuwa mbunge wa Kawe (Chadema), Mh Halima Mdee alishindwa kufika kusikiliza kesi yake inayomkabili kwa kuwa anamuuguza mbunge mwenzake wa chama hicho jimbo la Bunda, Mh Ester Bulaya.

#MyTake Haya ni majukumu ya kawaida ukiwa KICHWA cha familia, ila sijajua kama ni majukumu ya kawaida kwa mfanyakazi mwenzako.

Kutohudhuria mahakamani bila sababu za msingi ni miongoni mwa mambo ambayo yanaweza kusababisha ukafutiwa dhamana kwa kukiuka masharti ya dhamana yako. View attachment 1019042

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimekukera nini mtu kumuuguza meti wake ?! Au Una wivu wa kike ?! Kwanza we ni jinsia gani ?!

Mahakama zetu wanajuwa kuwa wananchi wana dharura, na ndiyo maana tumewekewa taratibu za kutolewa taarifa mbele ya mheshimiwa Hakimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
21,475
2,000
Yupo Tayari kwenda hata magereza kwa ajili ya mwenzake, upendo wa mfano huu. .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom