Biashara ya gereza !!.

Biashara ya gereza !!.

Diesel generator

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
706
Reaction score
663
Natumaini mu wazima wa afya. Nina wazo la biashara mpya kabisa hapa nchini. Ni uwekezaji katika MAGEREZA ZA WATOTO NCHINI. kufanya uwekezaji wa Ujenzi wa Magereza ya kisasa yenye mahitaji yote Kwa ajili ya mtoto ili anapotumikia adhabu ,aitumikie katika mazingira yasio athili utoto wake.
Gereza liwe na Huduma bora za maradhi,lishe,elimu,afya,michezo. Gereza like na shule za kisasa zenye maabara za kisasa na walimu kutoka taasisi zinazotambulika. Mtoto atapata Huduma za unifomu, mavazi, na stationary shuleni bila Tatizo,viwanja vya michezo na walimu wa michezo wakiwaongoza nyaja hiyo.
Afya na maradhi, gereza litakuwa na Hospital ya kisasa maalumu Kwa watoto,madaktali wenye sifa.
Lishe ya watoto italatibiwa na mtaalamu wa afya.
Nyumba za ibada zitakuwepo Kwa kila dini ili kutoathili imani ya mtoto.
Ninachoitaji kuelewa je serekari itakuwa tayari kumgalamia kila mtoto atakae kuwa akitumikia adhabu kama nchi nyingine zinavyofanya ili kuilinda haki na hadhi ya moto?
 
Aiseeee.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Gereza liwe na huduma ZA MARADHI?
 
Jaribu Europe labda,Africa jela ni jehanamu ukiweza ishi jela za Africa ushindwi kuishi jela
 
hilo ni gereza au hotel tena five star?
serikali haiwezi kugharamia mfungwa akale bata gerezani.
Remember Magufuli isn't fond of relaxing prizoners.
 
Kwa mtazamo huo,kwanini usifanye kua kituo kinachotoa huduma na mafunzo yote kwa watoto,kielimu,kiafya,michezo,malazi n.k na wazazi walete watoto wao wenyewe na kulipia
 
Watoto wanaitaji malezi ya kipekee Sana! Hasa watoto watukutu na waliokwisha hukumiwa. Hasa katika nchi masikini watoto wanaochanganywa gerezani na wakubwa, wanapata makundi ya kujiunga gerezani. Hivyo ili umbadili anaitaji mazingila rafiki sana! . Ndipo aweze kubadilika. Tofauti na anapopata mazingila magumu anahalibika.
 
Ni kama uko sawa!
Mtu akiisoma na kuielewa vizuri Idea yako.
Mimi nimeisoma na kuielewa Idea yako, ni nzuri.
 
Mkuu inaonekana wewe mgeni sana.

Wenzako tumekaa jela kwa miaka sita kuanzia form one mpaka form six.

Baada ya kifungo kuisha sasa tukapewa kifungo huru chuo na sasa kinaendelea mtaani.
 
Gereza ni 'nyumba' au sehem 'maalum. Hata kama ndani yake kutakua na full facilities ktk kumuwezesha aliemo, lazima ipatikane tofauti ya kimaisha kati ya waliomo na wasiokuwemo, kinyume chake hakuna sababu ya kuwaweka watu humo, wala hakuna haja ya kuwa na magereza.
 
Daah we jamaa kweli capitalist... yani umekaa unawaza fursa ukaona ndo hiyo... watoto wafungwe wanapofanya makosa af mzee baba wewe ndo unamiliki hayo magereza.... damn it takes balls kiafrica africa
 
Natumaini mu wazima wa afya. Nina wazo la biashara mpya kabisa hapa nchini. Ni uwekezaji katika MAGEREZA ZA WATOTO NCHINI. kufanya uwekezaji wa Ujenzi wa Magereza ya kisasa yenye mahitaji yote Kwa ajili ya mtoto ili anapotumikia adhabu ,aitumikie katika mazingira yasio athili utoto wake.
Gereza liwe na Huduma bora za maradhi,lishe,elimu,afya,michezo. Gereza like na shule za kisasa zenye maabara za kisasa na walimu kutoka taasisi zinazotambulika. Mtoto atapata Huduma za unifomu, mavazi, na stationary shuleni bila Tatizo,viwanja vya michezo na walimu wa michezo wakiwaongoza nyaja hiyo.
Afya na maradhi, gereza litakuwa na Hospital ya kisasa maalumu Kwa watoto,madaktali wenye sifa.
Lishe ya watoto italatibiwa na mtaalamu wa afya.
Nyumba za ibada zitakuwepo Kwa kila dini ili kutoathili imani ya mtoto.
Ninachoitaji kuelewa je serekari itakuwa tayari kumgalamia kila mtoto atakae kuwa akitumikia adhabu kama nchi nyingine zinavyofanya ili kuilinda haki na hadhi ya moto?
Alaf shule za gereza ziwe zinafaulisha vizuri kuliko shule zetu huku uraiani hahahahaaaaa..
Wazazi watakuja kuomba watoto wafungwe tuu hata miaka 20 akimaliza kifungo ana cheti cha form 4 anatoka anaendelea na form six na chuo.. Utasikia mzazi anampeleka mtoto wake polisi anasema mfungeni uyu amemwaga uji hahahahaaaa..
 
Mbona shule za aina hii zilikuwepo hata kipindi cha awamu ya kwanza sema zimebadilishwa tu mfano Nyamilama Secondary ipo Kwimba
 
Back
Top Bottom