Nachukia kuwa profesa siasa na mchungaji siasa

Jimmywatanzania

JF-Expert Member
May 8, 2015
464
250
Nachukia kuwa profesa SIASA ambaye anashindwa hata kutengeneza mambo ya familia yake,wanaacha kusimamia ukweli na hao wachungaji wa kisiasa ambao wanaacha kuchunga waumini wao badala yake wanachunga SIASA.faida gani kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jimmywatanzania

JF-Expert Member
May 8, 2015
464
250
mbunge.msigwa na wachungaju wote waliopo upinzani ni majuha tu.

ww huna akili ya kuwa profesa na huna upako wa uchungaji ww kauze bang tu
Profesa siasa nayo akili au ujuha..akili labda wewe ndio huna..maana umeshindwa kutofautisha akili na ufahamu.uchungaji si upako kama walikudanganya ni upako pole sana..itakuwa ndio walewale mauti mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom