Mama yetu Janeth John Joseph Magufuli,mwabie TB Joshua Watanzania tunauchaguzi wa serikali ya mtaa mwaka huu!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Nmefurahi leo kumuona Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano kuwa miongoni mwa waumini walio uzuria ibada ndani ya kanisa la SCOAN hakika nmefurai sanaa.

Niseme ukweli pia nimefurah kumuona Mh Rais wetu hapa St peter nilitaman nimfate nimnongoneze jambo ila nilishindwa kbsa

Ila kwa kuwa nimemuona mke wake akiwa Nigeria, na nmemuona TB joshua akitabili kuwa Taifa lake litaingia GIZANI kidgo baada ya uchaguzi kufanyika,badi namuomba Mama yetu wa Taifa kwa sasa amwambie huyo bwana kuwa tunauchaguzi wa serikali ya mtaa ili atabili nini kitajili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,089

Lowasa kawa Rais?

Kuwaendekeza hao manabii wajasiliamali ni kupoteza muda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cmases

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
1,623
2,000
Nmefurahi leo kumuona Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano kuwa miongoni mwa waumini walio uzuria ibada ndani ya kanisa la SCOAN hakika nmefurai sanaa.

Niseme ukweli pia nimefurah kumuona Mh Rais wetu hapa St peter nilitaman nimfate nimnongoneze jambo ila nilishindwa kbsa

Ila kwa kuwa nimemuona mke wake akiwa Nigeria, na nmemuona TB joshua akitabili kuwa Taifa lake litaingia GIZANI kidgo baada ya uchaguzi kufanyika,badi namuomba Mama yetu wa Taifa kwa sasa amwambie huyo bwana kuwa tunauchaguzi wa serikali ya mtaa ili atabili nini kitajili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mama yeye anapata exposure!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dong yi

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
3,349

hivi mama kama huyu anaenda nigeria kifata nini?........

kwan huko katoliki anakosali hakuna huduma alizofata nigeria?
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,529
2,000
Jamaa kikombe cha babu samunge hakikumtibu?mama naye ndani hakukaliki mpaka akimbilie kwa mganga TB Joshua?kama mke kashindwa jee wewe mlamba miguu utaweza?
USSR
 
dong yi

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
3,349
2,000
Nadhani ilikuwa jumapili ya wiki iliopita labda kama na ya Leo alikuepo sijafatilia ibada ya TB Joshua leo
yan hata nashindwa kuelewa.....

wanasiasa, well naweza elewa why wanaenda kule......

sasa huyu mama nae nigeria kufanya nini wakat tanzania kuna manabii wa BWANA wamejaa??..... (siongelei kina malisa and the alike)
 
INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
5,004
2,000
yan hata nashindwa kuelewa.....

wanasiasa, well naweza elewa why wanaenda kule......

sasa huyu mama nae nigeria kufanya nini wakat tanzania kuna manabii wa BWANA wamejaa??..... (siongelei kina malisa and the alike)
Mambo ya imani yanamsukumo wake,kunakitu wanaita wenzetu wa makanisa ya kiroho "kuguswa" itakuwa Tb Joshua anambariki sana huyu mama ndomana kafunga safari kwenda Kule,si yeye tu idadi ya watanzania wanaendo kuhushiriki ibada huko niwengi
 
Kashishi yetu

JF-Expert Member
Mar 22, 2014
2,370
2,000
kwenda TB JOSHUA NI SAWA NA KULIKANA KANISA LAKE LA RC KUWA HALINA UPAKO.

CHA AJABU AKIRUDI ANAJONGEA MBELE YA MEZA YA BWANA.

VIKNGOZI WA RC SIMAMIENI MISINGI YA RC,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom