Maisha Bila Unafiki ayaendi

Maisha Bila Unafiki ayaendi

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Kangi kama Ameweza Kuuliza kwa nini Dereva wa Lissu hakupigwa risasi hata moja na risasi zote zikampata Lissu pekee nadhani hawezi kushindwa kuuliza kwanini dereva wa Mwigulu Mchemba hajaumia kwenye ajali na badala yake kaumia Mwigulu pekee. Kama si mnafiki naamini atauliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom