Kwa wajinga tu, Kangi alisema nini jana la kumpaisha!Mikutano ya Tundu Lissu imeonekana kuwa na faida kwa Kangi Lugola.View attachment 1022712
Anampaisha kwa lipi?Mikutano ya Tundu Lissu imeonekana kuwa na faida kwa Kangi Lugola.View attachment 1022712
"shujaa"?[emoji1][emoji56]Mabendera hana cha maana, shujaa Lissu anachanja mbuga mtaona mambo muda si muda.
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;Mikutano ya Tundu Lissu imeonekana kuwa na faida kwa Kangi Lugola.View attachment 1022712
Acha hizo huyo TL aachwe aendele na perepete zako duniani mpk hamu imuishe humohumo ukweli na uongo wake utajulikana hakuna haja ya kujibizana naye.Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;
1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu
2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.
3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.
Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
Mgonjwa azidi kuabika sasa na ameanza kuwa ombaomba. Nafikiri bado hajapona sawasawa huyu mgonjwa!Huyu bira angefanywa waziri wa mifugo.
Huko itakua sawa na kumfukuza kichaa huku wewe ukiwa uchiKangi aende BBC Hard Talk.
Huyu wa fomu fiksi anaandika kama wa fom fofofo!Mikutano ya Tundu Lissu imeonekana kuwa na faida kwa Kangi Lugola.View attachment 1022712