Huyu Mzee nimfanye nini kwa Ushetani anaomwazia Mtoto wa Kaka Yangu?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,476
23,602
Mtoto wa bro ana miaka 9 anasoma darasa la 4. Na pia ni mwendaji mzuri wa Madrasa. Kuna zee moja chawi ,lina ushetani limeanza muda kumuita mchumba mchumba kama haitoshi. Last week limenisimamisha kuniuliza kuwa je lina weza kuja kuleta posa kwa yule bint.

Hili zee lina miaka 50+ nawaza hivi huyu ni binadamu kweli? Sijajua bro hili suala atalichukuliaje lakini nahisi kutawaka moto. Maana bro anawapenda sana watoto wake. Kabisa kutawaka moto. Mimi nlimtizama yule mzee ambaye anapaswa kuwa babu wa huyu mtoto mdogo wa miaka 9 anavyotaka aanze kumgegeda katika umri ule.

Huu is ushetani? Si uchawi huu? Why binadamu wamekuwa na tamaa kiasi hiki?
 
Labda utani, muulize vizuri
Sio sahihi, wengine wana tamaa za kweli. Nakumbuka nilivyokuwa mdogo Kuna mtu aikuwa ananiita mchumba mchumba, kiukweli nilikuwa nachukia. Siku moja nilimporomoshea matusi ya nguoni hata sijui niliyatoa wapi. Bakora nilizokula kutoka kwa maza kwa sababu ya kutukana hazikuwa za nchi hii, na nikagoma kuomba msamaha.
Ila ilisaidia yule mjamaa aliacha. Na Hadi nakua namuona ni mtu wa totoz, imagine ningemchekea nawaza angeshanila.
 
Mmh nimewaza tu mzee wa miaka 50 na katoto ka miaka 9.
Dunia ina makubwa hii! Khaa
 
Mtoto wa bro ana miaka 9 anasoma darasa la 4. Na pia ni mwendaji mzuri wa Madrasa. Kuna zee moja chawi ,lina ushetani limeanza muda kumuita mchumba mchumba kama haitoshi. Last week limenisimamisha kuniuliza kuwa je lina weza kuja kuleta posa kwa yule bint.

Hili zee lina miaka 50+ nawaza hivi huyu ni binadamu kweli? Sijajua bro hili suala atalichukuliaje lakini nahisi kutawaka moto. Maana bro anawapenda sana watoto wake. Kabisa kutawaka moto. Mimi nlimtizama yule mzee ambaye anapaswa kuwa babu wa huyu mtoto mdogo wa miaka 9 anavyotaka aanze kumgegeda katika umri ule.

Huu is ushetani? Si uchawi huu? Why binadamu wamekuwa na tamaa kiasi hiki?
Muombe mahari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si utani huyu mzee punguani yupo serious kabisa. Nshamsoma sana anamaanisha kabisa... Anasema hata kusomesha atamsomesha yeye. Ana vijicent kidogo na huwa ana saidia sadia mtaani kwenye nyumba moja ya ibada. Yupo serious nikimwambia bro anaweza enda mchana chana na mapanga. Namfahamu bro hanaga utani na familia yake.

Miaka 9 nakataa aisew hawezi kuwa serious ni utani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si utani huyu mzee punguani yupo serious kabisa. Nshamsoma sana anamaanisha kabisa... Anasema hata kusomesha atamsomesha yeye. Ana vijicent kidogo na huwa ana saidia sadia mtaani kwenye nyumba moja ya ibada. Yupo serious nikimwambia bro anaweza enda mchana chana na mapanga. Namfahamu bro hanaga utani na familia yake.

Mazee ya umri huo huwa yana matani, kwahiyo na wewe unaamini linaweza kuja kuoa hako kakinda?
 
Mkuu Chukua hatua haraka sana.. Kwanza ulipaswa siku hiyo hiyo anakueleza huo upuuzi wake ungemnasa kibao halafu na kumchimba mkwara mmoja mkali.. Kama unamuogopa mueleze bro wako mumfate mmwambie hamtaki huo upuuzi wa kumwita mchumba na utani wowote ule utakao muhusisha huyo Mtoto.. Watu wa dizaini hiyo huwa wanaanzaga hivyo mkimchekea anamharibu mtoto kweli.. Hapo anatumia utani ili kujipa uhalali.. Mtoto akifikisha miaka 14 15 anafanya yake.. Usizembee kabisaa Mkuu chukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha utani wala nini hapo. Ndio wanaanzaga hivyo hivyo mwisho wa siku mzee anafanya yake. Hakuna kukubali utani ea namna hiyo kwa mtoto. Lakini pia hiko ni kosa kisheria (kulingana na sheria ya watoto) huo ni unyanyasaji kwa mtoto, anaharibika kisaikolojia. Hata sheria inasema usipotoa taarifa sehemu husika nawewe unakuwa na kosa, hivyo mchane makavu au mwambie baba mtoto akamkemee haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh.. hii nadhani tushirikishe watu wenye ilimu faiza foxy ana ilimu ya dini. Kwa umri huo kama ni dini ya kiislamu inaruhusiwa.

Mbona muhamad alimwoa AISHA AKIWA NA MIAKA 6 NA AKAANZA KUSEX NAYE AKIWA NA MIAKA 9. nami nataka nioe mtoto wa faiza foxy wa miaka hiyo.

Ni kawaida tu kwa waarabu kuoa vitoto vidogo....
 
Back
Top Bottom