Nitumie nini kuunganisha kioo na shaba?

Nitumie nini kuunganisha kioo na shaba?

Tmlekwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
258
Reaction score
241
Msaada wadau, nina coffetable yangu Ya kioo na miguu yak ni ya shaba sasa mguu mmoja umetoka je nitumie nini kuunga tena huo mguu?? Meza yangu naipenda mnoo sitak kuitupa
 
Back
Top Bottom