Reginald Mengi kuajiri Wahindi katika ngazi ya juu ya uongozi ya kiwanda cha Bonite Moshi ni kukosa Watanzania wenye uwezo?

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
13,778
2,000
Heshima sana wanajamvi,

Dr Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wazawa lakini jambo la kushangaza katika kampuni zake Bonite Bottlers top management yake yote kaajiri Wahindi na si Watanzania wenzake wazawa.

Nimeshangaa sana majuzi nilitembelea kiwanda chake za uzalishaji wa vinywaji baridi soda Wahindi wamejazana ungefikiri uko Bombay je huu ni uzalendo?.

Dr Mengi ebu tuambie umeshindwa kuwaamini Watanzania wenzako katika ajira lakini hapo hapo unataka tuendelee kunywa soda za kampuni yako

KUANZIA LEO NIMESUSA KUNYWA SODA ZA BONITE BOTTLERS mpaka hali ya ajira itakabotazamwa upya,fikiria stores officer ni mhindi yaani huko Machame kwenu au Marangu Kibosho vijana wamejaa kibao bila ajira wewe unakwenda kutoa ajira Punjap
 
stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
874
1,000
Heshima sana wanajamvi,

Dr Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wazawa lakini jambo la kushangaza katika kampuni zake Bonite Bottlers top management yake yote kaajiri wahindi na si watanzania wenzake wazawa.

Nimeshangaa sana majuzi nilitembelea kiwanda chake za uzalishaji wa vinywaji baridi soda wahindi wamejazana ungfikiri uko Bombay je huu ni uzalendo ?.

Dr Mengi ebu tuambie umeshindwa kuwaamini watanzania wenzako katika ajira lakini hapo hapo unataka tuendelee kunywa soda za kampuni yako /.

kUANZIA LEO NIMESUSA KUNYWA SODA ZA BONITE BOTTLERS mpaka hali ya ajira itakabotazamwa upya,fikiria stores officer ni mhindi yaani huko Machame kwenu au Marangu Kibosho vijana wamejaa kibao bila ajira wewe unakwenda kutoa ajira Punjap
Ulitakiwa utumie akiri kugundua kitu maaana yake kiwanda so chake ni cha wahindi ila wanatumia mengi Kama kivuli, hivi wewe unafikiri makampuni unayoyaona hapa nchini ukidanganywa kuwa ni yao ni yao kweli? Mkuu hakuna makampuni ya wazawa yoooote ni ya wahindi na wachini, wahindi wanafanya Kama ilivyokuwa serikali Ya Nyerere na wafanyakazi walivyokuwa wanaweka Ndugu zao Kama ndio wamiliki halali wa Mali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,121
2,000
kUANZIA LEO NIMESUSA KUNYWA SODA ZA BONITE BOTTLERS
Susa tu,kwani unakunywa soda ngapi kwa siku?
Mfanyabiashara yoyote anaangalia faida kwanza,sie watanzania tunawaza kuiba tu,bora aweke muhindi atamfukuza kwa kuwa na KPI ndogo tu
 
semper saratoga

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
989
1,000
Kwann sasa kama kiwanda ni cha wahindi kimilikiwe na Dr Mengi? (Na assume kwa mtizamo huzungumzii ubia). Wahindi wazawa (baba.. Babu zao wamezaliwa na kukulia ardhi ya Tanganyika /Tanzania) wana haki zote kama walivyo wabantu wazawa…kodi ni zile zile kama ambavyo ungelipa ww ungemiliki kiwanda… mantiki ya kujificha nyuma ya Dr Mengi kwenye umiliki ni nn ?
Ulitakiwa utumie akiri kugundua kitu maaana yake kiwanda so chake ni cha wahindi ila wanatumia mengi Kama kivuli, hivi wewe unafikiri makampuni unayoyaona hapa nchini ukidanganywa kuwa ni yao ni yao kweli? Mkuu hakuna makampuni ya wazawa yoooote ni ya wahindi na wachini, wahindi wanafanya Kama ilivyokuwa serikali Ya Nyerere na wafanyakazi walivyokuwa wanaweka Ndugu zao Kama ndio wamiliki halali wa Mali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,015
2,000
NYINYI SI WACHAPA KAZI BLABLA NYINGI UKIWA KAZINI UNATAKA UONGELEE MIPIRA MICHEPUKO WASANII NDIO STORY ZENU KUCHAPA KAZI HAMUWEZI SANA MNAFIKIRIA KUPIGA DILI

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,015
2,000
HATA DUBAI WAMEJAA WAHINDI NDIO WALIOIJENGA DUBAIIKAWA HIVYO UNAVYOIONA KWAHIVYO MGEPELEKWA NYINYI BADALA YA WA HINDI ISINGEKUWA DUBAI INGEBADILIKA NAKUWA NYANJILINJI

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,120
2,000
Heshima sana wanajamvi,

Dr Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wazawa lakini jambo la kushangaza katika kampuni zake Bonite Bottlers top management yake yote kaajiri wahindi na si watanzania wenzake wazawa.

Nimeshangaa sana majuzi nilitembelea kiwanda chake za uzalishaji wa vinywaji baridi soda wahindi wamejazana ungfikiri uko Bombay je huu ni uzalendo ?.

Dr Mengi ebu tuambie umeshindwa kuwaamini watanzania wenzako katika ajira lakini hapo hapo unataka tuendelee kunywa soda za kampuni yako /.

kUANZIA LEO NIMESUSA KUNYWA SODA ZA BONITE BOTTLERS mpaka hali ya ajira itakabotazamwa upya,fikiria stores officer ni mhindi yaani huko Machame kwenu au Marangu Kibosho vijana wamejaa kibao bila ajira wewe unakwenda kutoa ajira Punjap
Coca cola brand,
Bonite Bottlers wahindi wapo
Coca Cola Kwanza Wahindi wapo
Nyanza Bottling wahindi wapo

msitake kuua brand za watu kizembe ndio maana wapo kwenye operation hao jamaa na hawako kwa bahati mbaya
hata Pepsi pia
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,168
2,000
Wangekuwa wabongo tungeishasikia "tunataka kujengewa nyumba ya ibada maana wengine ibada zetu ni za lazima" shame!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom