Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SERIKALI imenunua korosho gha tani 214,269.684 zenye thamani ya Sh bilioni 717.1 sawa na asilimia 89.3 ya lengo la uzalishaji wa zao hilo. Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba ametoa takwimu hizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mungu anapoamua jambo liwe binadamu hana uwezo wa kulizuia . Enzi zile za michuano ya kugombea urais wa Marekani kati ya Hillary Clinton na Obama, ingawa wote walitoka chama kimoja lakini...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau huku kwetu Iringa tunazidi kuvurugwa kila siku tokea aletwe huyu kada wa CCM kama RC wa Iringa..Ukiachilia mbali bendera za CCM zililizozagaa kwa wingi kwa sasa hapa mjini katika baadhi ya...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau Kuna Gari kama Inavyooneka Pichani no za Usajili ni T961 BZT lipo Katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B Sasa liko pale Takribani Miezi 6 toka limeharibika na Lilipo sio sehemu salama kwani...
9 Reactions
85 Replies
28K Views
Habari za jumapili wanajukwaa.Mungu ni mwema kila wakati. Niende moja kwa moja kwenye lengo la mada hii. Kwako waziri Wa ardhi,mhe. Sana William Vangamembe Lukuvi,salamu kwako,aidha baada ya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mda mchache ilopita majira ya saa tisa unusu gari uliyokuwa imebeba mchanga imepata ajali ya kupinduka katika Barabara ya Sirari Msoma. Mashuhuda wanasema gari hyo ilikuwa kwenye speed kubwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya siasa ilovyo nchini ni kawaida kumkuta kiongozi aliye aminiwa na wananchi akiwashutumu vijana wanao maliza chuo kwa kushindwa kujiari. Lakini yeye tayari yupo ajirani. Viongozi...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Habari za mchana wanajamvi, Kwa siku 3 mfululizo mpaka jana usiku,ITV kwenye taarifa yake ya saa mbili ilikuwa inaonesha taarifa ambayo habari zake si za kawaida mbele ya macho na masikio ya watu...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
“Tunawagawia wote mpaka wale wanaookota makopo barabarani,” ni kauli ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme akizitaka Halmashauri zote za Mkoani humo kuhakikisha zinagawa vitambulisho kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanza ziara ya kiserikali ya siku nne mkoani Kigoma leo kuimarisha zao la michikichi kama moja ya mazao makuu ya kibiashara kwa kulipa kipaumbele zaidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu! Naomba kujua kwa wenye kujua. Hapa mtaani kwetu wamekuja maafisa kutoka jiji na kupita kila nyumba na kuwaandikia "STOP KIBALI" na wamefanya makadirio kila wanavyoithaminisha...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Habari za jumapili waungwana Uzi huu hauna mrengo wowote wa ubaguzi wa kikabila,na nimeamua kuuleta huku jukwaa la siasa kwa sababu naamini huku kuna viongozi/watumishi wengi wa serikali wenye...
4 Reactions
166 Replies
21K Views
Wanajamvi. Nimekuwa mteja wa mabasi haya kwa muda mrefu nikivumilia kero zote lakini hili la uchafu wa mabasi naona sasa ni uzembe uliopitiliza. Kwakweli hii ni aibu kubwa kwa menejimenti ya huu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza nimeamua kutaja orodha maalumu ya vitabu, filamu na nyimbo ambazo kwa upande wangu nimeona zimefanya vizuri kwa upande wangu. Ifuatayo ni orodha yangu ya kawaida niliyotoa leo...
13 Reactions
114 Replies
9K Views
Na sio roho mbaya hapana.! Bali kuna hali na hisia fulani unajisikia mwilini pale unapoona mtu uliyekuwa ukihustle naye anazidi kutoboa wakati wewe umekwama hapohapo. Hiyo hali inaumiza wengi sana...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Kwa nini iwe malipo ya ulichokifanya ni kile ulichokifanya? Yaani umelima sana alafu unaambiwa ujira wako ni kulima saaana. Yaani umesoma saana alafu unaambiwa malipo yako ni kusoma saana. Hii...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Wanakijiji wa kijiji kilicho ndani ya wilaya ya Igunga na kupakana na mkoa wa Singida wameamua kufunga barabara kwa kuweka mawe barabarani na kuzuia magari yote yanayotoka mkoani Tabora au kuingia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ningependaa kuskia mawazo yawatu wengine kuhusinaa na hoja io na uwa napenda Msemo mmoja wa kingereza unaosema (there is no free lunch in America)kuna ukweli hapa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Utaratibu mbovu sana kuruhusu nyimbo za dunia makaburini,sio utaratibu mzuri hata kidogo. Haiwezekani watu wanaleta mambo yao ya kihuni kwenye ibada za mazishi. Viongozi na familia lazima...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom