Gari latelekezwa kwa zaidi ya miezi 6 katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B

  • Thread starter Waziri wa Kaskazini
  • Start date

Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
2,845
Likes
4,631
Points
280
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
2,845 4,631 280

Wadau Kuna Gari kama Inavyooneka Pichani no za Usajili ni T961 BZT lipo Katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B Sasa liko pale Takribani Miezi 6 toka limeharibika na Lilipo sio sehemu salama kwani Kuna Kona

Nilibahatika Kusimama na kuonana na Mlinzi analinda hilo Gari na Kunipa stori Fupi kuwa toka Lilipo Haribika Dereva alie mkabidhi alimwambia anaenda kuchukua spare Mjini toka siku hiyo hajawahi kumuoana Ila aliwasiliana nae

Kama baada ya Mwezi kupita akamwambia Anaumwa, na Baadae akawa hapokei simu akipokea anamwambia bado hajapata spear Duhumuni la kupost hizi picha kuwa yule Mlinzi anadai Anapata changamoto kubwa Sana hasa Usiku anadai Kuna Gari zina simama kwa lengo la Kutaka kuiba Spear, Wadau Kama yupo anaemjua Mmiliki wa hili Gari pichani Basi amfikishie Kilio cha Mlinzi .
===============================
Update...

Nilifanikiwa kufanya Mazungumzo na Moja ya
Askari Kituo cha Polisi Ruaha -Mbuyuni Anasema hata wao Walijitahidi Kufanya mawasiliano na mmliki wa Gari no T 961 BZT Scania ambayo ni Mali JOPEPRI INTERPRISES - MOSHI Bila mafanikio kupitia kwa Mkuu wa Kituo lakini hatua Wanayotaka Kuichukua kuwafahamisha Tanroad Iringa kwa hatua zaidi.
 
USSR

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Messages
2,098
Likes
1,955
Points
280
Age
28
USSR

USSR

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2015
2,098 1,955 280
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
 
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
6,065
Likes
5,753
Points
280
Age
22
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined Apr 29, 2016
6,065 5,753 280
Panaitwa RUAHA sio Ruhaa
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
15,933
Likes
14,597
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
15,933 14,597 280
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Kama haikuhusu na wewe umefata nini kwenye huu uzi!
Haupishani sana na ulichoandika
 
libeva

libeva

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Messages
2,731
Likes
1,063
Points
280
libeva

libeva

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2015
2,731 1,063 280
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Si ajabu anajua lipo Congo kwenye foleni ya kupakia
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
23,483
Likes
37,205
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
23,483 37,205 280
Mambo mengine ni imani za kishirikina tu,mtu hawezi kukaa miezi 6 haguatilii lori lake kalipaki porini pembeni ya barabara. Halafu mamlaka zipo kwann zisilitoe hapo akijitokeza mwenyewe alipe na faini la sivyo lipigwe mnada
 
Zambotti

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
1,022
Likes
1,689
Points
280
Zambotti

Zambotti

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
1,022 1,689 280
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Mwenyewe unajiona umemkosoa, kumbe umepata nafasi ya kuonyesha ujinga wako
 
C

Coolhigh

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
263
Likes
132
Points
60
C

Coolhigh

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
263 132 60
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Mmmh, sidhani ameposti ili mweye gari ajue limeharibika zaidi kuposti ili mlinzi apate kusaidiwa.
 
C

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
963
Likes
719
Points
180
C

concordile 101

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
963 719 180
Sasa mimi nikienda kuliiba hapo ntakamatwa?
 
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,787
Likes
8,626
Points
280
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,787 8,626 280
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
hahaahha kuwa na amani mkuu hii habari haihusiani na TL maana hbari zake zishakutia kichaa. naona washambulia hata wasio na hatia.

kubwa ni mlinzi apate msaada, ikiwemo kulipwa ujira wake
 
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
3,159
Likes
2,726
Points
280
Age
55
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
3,159 2,726 280
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Mkuu wewe ni mtu mbinafsi sana kitabia.
Kwa hiyo jambo lolote lisilokuhusu wewe basi hauwezi kutoa msaada.
Hata ukute mtu anauliwa pale, kwa kuwa havikuhusu utapita tu.
Ukute nyumba inavunjwa na wezi, kwa kuwa havikuhusu wewe utapita tu.
Lakini kama utaendelea na ubinafsi wako huo uliokithiri, ipo siku tabia hiyo itakutokea puani.
Ni kosa la jinai kuona kosa likitendeka na kulinyamazia kwa kuwa tu halikuhusu.
Nimefurahishwa sana na usamalia wema wa mtoa post.
Saazingine huyo dvr wa gari alishafariki kwa ugonjwa na mwenye mali akawa hana tena mawasiliano na dvr na haelewi lilipotelekezwa gari hilo.
Mtoa post, katoa msaada mkubwa sana na huo ndiyo utu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
6,065
Likes
5,753
Points
280
Age
22
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined Apr 29, 2016
6,065 5,753 280
Alafu tena amesema dereva amekwenda kununua "spear" badala ya spare, labda dereva huwa anafanya kazi ya uwindaji pia
Huyo jamaa ni mtu wa kaskazini huko Sengerema ndani ndani yaani hata kuandika hawezi
 
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
2,845
Likes
4,631
Points
280
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
2,845 4,631 280
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Hapo lilipo lipo kwenye kona, sasa sijui hadi ajali itokee ndiyo muanze kumtafuta mchawi

Au nimefanya makosa Kupost? Moderator naomba mniondolee uzi wangu
 
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,128
Likes
11,277
Points
280
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,128 11,277 280
Ngoja nijiandae kuja kuiba spear...
 

Forum statistics

Threads 1,262,317
Members 485,560
Posts 30,120,628