Someone else success brings pain.

Someone else success brings pain.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,204
Reaction score
14,393
Na sio roho mbaya hapana.! Bali kuna hali na hisia fulani unajisikia mwilini pale unapoona mtu uliyekuwa ukihustle naye anazidi kutoboa wakati wewe umekwama hapohapo. Hiyo hali inaumiza wengi sana sema kwa sisi wengine tunachukulia kama changamoto ya kujitathimini ila kwa wengine ndo unakuwa mwanzo wa kurogana.
 
ni kweli mkuu chukulia mfano wa tundu lisu umaarufu wake haukuwapendeza viongozi wenzake wa chadema hata hili tukio la kupigwa risasi inawezekana kabisa ni njama za wanachadema wenzake kumpoteza kwa wivu tu wa umaarufu wake
 
Mtu akiumia akapambana ili atoboe zaidi ya pale talimu kabi waitu......kuna wengine wakiumia wanaenda kwa sangoma wakuvute shati hiyo ndo inauma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom