RC Ruvuma: Waokota makopo kupewa vitambulisho

mumby

JF-Expert Member
Jun 13, 2014
1,485
2,000
“Tunawagawia wote mpaka wale wanaookota makopo barabarani,” ni kauli ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme akizitaka Halmashauri zote za Mkoani humo kuhakikisha zinagawa vitambulisho kwa watu wote wenye sifa kuanzia wenye mtaji wa chini ya milioni nne, wakiwemo wakulima na waokota makopo barabarani.

Chanzo: Azam tv
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,650

Muokota makopo anakidhi vigezo vya TRA vya mjasiliamali mdogo mwenye kipato chini ya million 20 kwa mwaka?
Au sasa imekuwa lazima tu ili vitambulisho viishe?

Hili zoezi likifanyika kwa ufasaha na ukweli, linaweza kuwa chanzo cha kujua idadi halisi ya wajasiliamali wadogo wanaokidhi vigezo.
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,363
2,000
“Tunawagawia wote mpaka wale wanaookota makopo barabarani,” ni kauli ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme akizitaka Halmashauri zote za Mkoani humo kuhakikisha zinagawa vitambulisho kwa watu wote wenye sifa kuanzia wenye mtaji wa chini ya milioni nne, wakiwemo wakulima na waokota makopo barabarani.

Chanzo: Azam tv
Ndilo jukumu walilopewa la kukusanya kodi
 
Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,603
2,000
Kichekesho ni kuwa Magufuli alipotangaza habari za hicho kitambulisho alifanya blunder ambayo ilipaswa kuwa obvious kwa TRA na watendaji wake wengine.
Sheria ya kodi ya mapato inampa unafuu wa kutolipa kodi mfanyabiashara wa biashara yeyote halali anaepata pato ghafi (gross revenue) lisilozidi shilingi million 4 na sio mtaji usiozidi shilingi milioni 4.

Najua ccm wengi hapa watatoka kapa kuelewa hiyo blunder aliyoifanya Magufuli na ambayo haijatolewa ufafanuzi. Ni hivi; naweza kuwa na mtaji wa laki 5 lakini pato langu likawa zaidi ya milioni 4, in which case nitakuwa nipo nje ya eneo la msamaha wa kodi ya mapato.
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026
2,000
Kichekesho ni kuwa Magufuli alipotangaza habari za hicho kitambulisho alifanya blunder ambayo ilipaswa kuwa obvious kwa TRA na watendaji wake wengine.
Sheria ya kodi ya mapato inampa unafuu wa kutolipa kodi mfanyabiashara biashara yeyote halali anaepata pato ghafi (gross revenue) lisilozidi shilingi million 4 na sio mtaji usiozidi shilingi milioni 4.

Najua ccm wengi hapa watatoka kapa kuelewa hiyo blunder aliyoifanya Magufuli na ambayo haijatolewa ufafanuzi. Ni hivi; naweza kuwa na mtaji wa laki 5 lakini pato langu likawa zaidi ya milioni 4, in which case nitakuwa nipo nje ya eneo la msamaha wa kodi ya mapato.
Wachumia tumbo Watakuambia unatumiwa na mabeberu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom