Hii ndiyo orodha ya vitu na watu ninaowakubali kinoma

Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
16,532
2,000
Kwa mara ya kwanza nimeamua kutaja orodha maalumu ya vitabu, filamu na nyimbo ambazo kwa upande wangu nimeona zimefanya vizuri kwa upande wangu.

Ifuatayo ni orodha yangu ya kawaida niliyotoa leo ambayo inanipa muda wa kutulia na kutafakari kwa mwaka mzima kupitia vitabu alivyosoma, filamu na muziki ambavyo vimetokea kumvutia, kushawishi au kuvipenda.

VITABU NILIVYOSOMA TOKA NIZALIWE HADI SASA
1.Things Fall Apart cha Chinua Achebe
2.Ngoswe Penzi Kitovu Cha Uzembe
3.Mizimu Ya Watu Wa Kale
4.Th Houseboy
5.Adili Na Nduguze
6.This Time Tomorrow
7.Weep Not Child
8.The Trial Of Brother Jero
9.Kufikirika
10.Kusadikika
11.Rich Dad Poor Dad
12.The Art Of War
13.Richest Man In Babylon
14.Think Big
15.A Coffin From Hong Kong
16.The Concubin

WANAFALSAFA NAOWAKUBALI
1.Lao Tzu
2.Plato
3.Aristrole
4.Confucios


WANASIASA NAOWAKUBALI
1.Nelson Mandela
2.Muammar Ghadaffi
3.Vladimir Putin
4.Hillary Clinton
5.Barack Obama


WANASAYANSI WANGU WA MUDA WOTE
1.Nikola Tesla
2.Marie Curie
3.Albert Einstein
4.Charles Darwin
5.Ibn Al Haytham
6.Alexender Gharam Bell
7.Leonard Da'Vinci
8.Ada Lovelace
9.Johannes Kelper
10.Thomas Edison
11.Archimedes
12.Isaac Newton

NCHI NAZOTAMANI KUTEMBELEA
1.Visiwa vya Komoro
2.Swaziland
3.Botswana
4.Afrika Ya Kusini
5.Somalia
7.Japan
7.Vietnam
8.Liberia
9.Nigeria


TIMU YA MPIRA WA MIGUU
1.Manchester United
2.Roma
3.Simba SC


WAKURUGENZI WAKUU NINAOWAKUBALI
1.Mark Zuckrberg wa Faceboo,WhatsApp na Instagram
2.Huyu wa mtandao wa Hitwe simjui
3.Jeff Bezos wa Amazon
4.Jack Ma wa Alibaba
5.Elon Musk wa Tesla

NYIMBO ZANGU ZA MUDA WOTE
1.Michael Jackson - Will you be there
2.The Weeknd - Starboy
3.Westlife - Fool Again
4.Ndjema Zaouwana Tsizo-Papa L'Amour
5.Notorious BIG - Mo money mo problem
6.UB40- Kingston Town
7.Mc Farid-Nalalama na roho

WANAJAMIIFORUMS NINAOWAHUSUDU
1. Mshana Jr
2. Mwifwa
3. GuDume
4. chaliifrancisco


WAANDISHI WA VITABU NAOWAKUBALI
1.Shaaban Robert
2.Said Mohamed Abdullah
3.Faki A Faki
4.Nyemo Chilongani
5.Chinua Achebe
6.Ferdinand Oyono Mbia
7.Robbin Sharma
8.Shafi Adam Shafi

WALIMU WA SHULE NILIZOSOMA

LYAHIRA PRIMARY SCHOOL
1.Rose Mauki
2.Adelina Shayo
3.Salvatory Toro
4.Rein Ngakuka
5.Elizabeth Nsumba
6.Anord Mbwambo
7.Mwajabu Abdi
8.Mwalimu Mwangira
9.Mwalimu Luhasi-Huyu ndio mwalimu bingwa wa kufundisha kusoma na kuandika kushinda wote pale shuleni

KIDODI SEKONDARI
1.Leonard Mokiwa
2.Debora Kiwalaka
3.Debora Brown
4.Antony Kadudu
5.Sebastian Kapunga

MGULANI JKT CENTRE
1.Madam Sanye wa somo la Civics
2.Lucy Nyaulingo
3.Mbasha

MOVIE BORA ZA MUDA WOTE
1.3 Idiots
2.I
3.Van Helsing
4.Kingsman:The Secret Service
5.John Carter of Mars

BENDI YA MUZIKI
1.UB40
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,399
2,000
Kwa mara ya kwanza nimeamua kutaja orodha maalumu ya vitabu, filamu na nyimbo ambazo kwa upande wangu nimeona zimefanya vizuri kwa upande wangu.

Ifuatayo ni orodha yangu ya kawaida niliyotoa leo ambayo inanipa muda wa kutulia na kutafakari kwa mwaka mzima kupitia vitabu alivyosoma, filamu na muziki ambavyo vimetokea kumvutia, kushawishi au kuvipenda.

VITABU NILIVYOSOMA TOKA NIZALIWE HADI SASA
1.Things Fall Apart cha Chinua Achebe
2.Ngoswe Penzi Kitovu Cha Uzembe
3.Mizimu Ya Watu Wa Kale
4.Th Houseboy
5.Adili Na Nduguze
6.This Time Tomorrow
7.Weep Not Child
8.The Trial Of Brother Jero
9.Kufikirika
10.Kusadikika
11.Rich Dad Poor Dad
12.The Art Of War
13.Richest Man In Babylon
14.Think Big
15.A Coffin From Hong Kong


WANAFALSAFA NAOWAKUBALI
1.Lao Tzu
2.Plato
3.Aristrole
4.Confucios


WANASIASA NAOWAKUBALI
1.Nelson Mandela
2.Muammar Ghadaffi
3.Vladimir Putin
4.Hillary Clinton
5.Barack Obama

WANASAYANSI WANGU WA MUDA WOTE
1.Nikola Tesla
2.Marie Curie
3.Albert Einstein
4.Charles Darwin
5.Ibn Al Haytham
6.Alexender Gharam Bell
7.Leonard Da'Vinci
8.Ada Lovelace
9.Johannes Kelper
10.Thomas Edison
11.Archimedes

NCHI NAZOTAMANI KUTEMBELEA
1.Visiwa vya Komoro
2.Swaziland
3.Botswana
4.Afrika Ya Kusini
5.Somalia
7.Japan
7.Vietnam
8.Liberia
9.Nigeria


TIMU YA MPIRA WA MIGUU
1.Manchester United
2.Roma
3.Simba SC


WAKURUGENZI WAKUU NINAOWAKUBALI
1.Mark Zuckrberg wa Faceboo,WhatsApp na Instagram
2.Huyu wa mtandao wa Hitwe simjui
3.Jeff Bezos wa Amazon
4.Jack Ma wa Alibaba
5.Elon Musk wa Tesla

NYIMBO ZANGU ZA MUDA WOTE
1.Michael Jackson - Will you be there
2.The Weknd - Starboy
3.Westlife - Fool Again
4.Bob Brown - Don't be cruel
5.Notorious BIG - Mo money mo problem

WANAJAMIIFORUMS NINAOWAHUSUDU
1. Mshana Jr
2. Mwifwa
3. GuDume
4. chaliifrancisco
5. FaizaFoxy
Bila shaka vitabu ulimaanisha vya Riwaya, Tamthilia,....

Unakionaje kitabu cha ''Kilio Chetu"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom